Kuendelea Chuo au kwenda Chuo cha Polisi?

Kuendelea Chuo au kwenda Chuo cha Polisi?

Acha mtoto asome apate kaz nzuri
Unaeza soma na usiajiriwe,
Unaeza soma na usiwe mfanyabiashara mkubwa, kwa sbb and vise versa.
Muhimu hapa ni kuangalia mlengwa anataka nn ambacho kwa hakika anakipenda kw dhati!

Mwingine huenda issue ya u polisi asingehitaji kusikia kbs, lkn kama huyu binti anaonekana kupenda kazi ya upolisi aliangalie mara mbili hili.
 
Binti ndio mwenye Maamuzi ya mwisho acha aamue mwenyewe “awe anachotaka” ili baadae asije pata pa kulaumu, maana ukimchagulia kazi/chuo ikatokea baadae kabadilisha mtazamo atakuona Mbaya wewe.
 
Kwa hio kozi anayosomea ajira zake ni ngumu zaidi kuzipata aisee, kwa uhakika wa ajira ni polisi, huko marketing ni sanda kalawe.

Uchaguzi ni wake
 
Nimeshindwa hata kujua nimshauri nini binti yangu ingawa kwa fikra zake alitaka aende CCP.
Basi umepata binti wa kujivunia... hizo akili itakuwa karithi kwa mama yake...

Mwache aende CCP... ipo siku utakuja kujua maamuzi aliyo yafanya yalikuwa sahihi...

Akitoka CCP mwambie akasome open university, hata wewe kama mzazi una weza kumudu gharama zake

Atamaliza ktk kipindi cha miaka mitatu digrii na baada ya hapo ana peleka vyeti ambavyo kwa mtumishi wa umma kupanda daraja ni baada ya miaka mitatu hadi mitano kama sijakosea...

Na moja kwa moja atakuwa ktk qulification ya kupata ukapteini/nyota moja. Kitakacho bakia ni historia

Na anaweza kuendelea kusoma mpaka kufikia miaka yake mitato akawa amepata na masters

Na una fahamu digree ni nyingi hivyo akiongeza thamani yake basi kila kitu ni mtelemko kuelekea mbele

Atakuja wasaidia ndugu zake wengine ktk taasisi na nje ya taasisi

Wanasema kuwa na ndugu au rafiki baadhi ya maeneo
1. Afya/hostali/daktari
2. Polisi/askari
3. Nk....
 
We ndugu yangu wa kanda ya ziwa hacha kujiuliza mara mbili mbili...

Sisi watoto wetu kila wakimaliza form six tuna watupia ktk usaili wa jkt waende huko wakapate nafasi za kwend mabaka mabaka

Mpaka wengine wakija kushituka tumesha fanikiwa

Nyie mnao peleka watoto shule pelekeni...

Sisi kwetu shule mwisho kidato cha sita....

Bachelor in Marketing and Entrepreneurship yupo MOCU.
 
Habari Wanabodi,

Nina binti yangu yuko mwaka wa kwanza chuo akiwa na 80% ya mkopo HESLB ila amekuwa shortlisted usaili wa Jeshi la Polisi.

Hivyo naomba mawazo yenu aendelee na Chuo au aende CCP ikitokea amepita usaili?

Natanguliza shukran.
CCP ni mwaka mmoja,hopefully akipita anaingia ajira za jeshini moja kwa moja.Anaweza kuandika barua ya kuomba kuahirisha masomo aende apige drill pale CCP kisha akishaingia kwenye ajira ya jeshi anafanya mpango wa kurudi Chuo na kuendelea na Maosmo huku akiendelea kukaa LINDO.

Ila pia inategemea YEYE anataka kwenda CCP au LA
 
Back
Top Bottom