mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
Mkuu mm nimekuelewa unao wengi ila watu wanakupinga kisa unao wengi huwezi ukamsema mchafu.. Huo ndo ukweli wanawake wengi wanapenda ofa za namna hiyo hata wanao kataa hapa wangeweza kuzuga kwa muda lakini asingeweza kumisi hiyo ofa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums