Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,188
- 124,863
mweeeeh!!!!!
Nini shemd jamaniii
mweeeeh!!!!!
Nini shemd jamaniii
na namba yake nimeshaifuta
nimefurahi tu wangu.
juzi niliamua kumzingua mmoja kati ya wapenzi wangu kwa kutumia namba mpya ambayo haijui tukawa tunachat mwisho wa siku nikamuomba nimtoe for lunch akasema nimtumie nauli nikamtumia na kweli akaja akanikuta namsubiri eneo la tukio nikamwambia mbona umewahi sana akabaki kutoa macho nusura aanguke sasa kiumbe kama huyu unamfanyaje,wanawake mtatuua utaendaje kula lunch na stranger ndiomaana mnauliwa
poa
habari yako?
Huyo tupa kule
heri ya mwaka mpyammmh.... ni akiri zako au za weekend!!!
nzuri...................heri ya mwaka mpya
heri ya mwaka mpya
mmmh.... ni akiri zako au za weekend!!!
asanteee
heri ya mwaka mpya na familia yako
na kwako pia my rainbow!!! mzima lakin
najibuje halafu