Mbogela
JF-Expert Member
- Jan 28, 2008
- 1,384
- 255
Nyerere hakuondoa jina la JK kumpitisha Mkapa. Mtei angekuwa anajua siasa kulikuwa na njia nzuri tu za kumpa ushindi mkwe wake bila kuondoa jina la Zitto.
Well said Mkuu!
1. Labda CHADEMA wanaweza wakawa wanajipanga kuwa Mbowe abaki kuwa mwenyekiti wa CHAMA na Mbunge na Zitto apewe nafasi ya kugombea Urais wa nchi kwa tiketi ya Chama chao?
2. CHADEMA watoke na jina la mgombea Urais 2010 mapema baada ya uchaguzi wa ndani ili kuweza kumjenga kwa wapiga kura kabla ya 2010.