makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,034
- 80,720
- Thread starter
- #41
Mtu anakuwa ameshajaa anashindwa kufanya maamuzi ya haraka mpaka mtu anajitoa kwenye timing, kinachomsaidia ana ngumi nzito.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anakuwa ameshajaa anashindwa kufanya maamuzi ya haraka mpaka mtu anajitoa kwenye timing, kinachomsaidia ana ngumi nzito.
Uko sahihi mkuu.Mwakinyo anahitaji mwalimu mzuri zaidi kuna vitu anakosa kwa wabongo jinsi walivyo walikupenda wanvyokusifia tu bila kukupa ukweli wako anahitaji mwalimu mzur sana ikiwezekana na mwansaikolojia, hili pambano alitakiwa amalize round ya 2, mpaka ya 3, akimpata mpinzani bora zaidi atapata tabu sn.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule anafaa kuwa kipimo tosha kwa mwakinyo.. Km anamkwepa basi hajiamini, bondia mzuri lazima apate challenges..Uko sahihi mkuu.
Mfano mzuri ni yule Okwiri aliempiga mchaga bruno, jamaa anajua sana, afu yuko fasta sana. Tena kasema anahitaji sana pambano na Mwakinyo, na yuko tayari kupigana popote hata nyumbani kwa MwakinyoIla anasema Mwakinyo anamkwepa jamaa, hataki pambano nae
the Legend☆
Huyu Phiri naona yuko vizuri, Zarika asipoangalia atakalishwa
Nimeacha kuangalia mkuu.Huyu Phiri naona yuko vizuri, Zarika asipoangalia atakalishwa
the Legend☆
Zarika kashinda kwa points
Sijawahi kuona wanawake wanapiga ngumi kama pambano la leo. Niliyemuona mkali kipindi cha nyuma alikuwa Leyla binti wa Muhammad Ally.Zarika kashinda kwa points
the Legend☆
Nilipomuona kwa zile round za mwanzo yuko vizuri sana huyu semenya wa kenya..Zarika kashinda kwa points
the Legend☆
Round za mwanzo walikuwa wananikosha, ila network ikawa inazingua nikaacha kutizama.Sijawahi kuona wanawake wanapiga ngumi kama pambano la leo. Niliyemuona mkali kipindi cha nyuma alikuwa Leyla binti wa Muhammad Ally.
Leylah ally alipigana sijui mapambano 20 na ngapi na hakupihwa hata pambano moja.Sijawahi kuona wanawake wanapiga ngumi kama pambano la leo. Niliyemuona mkali kipindi cha nyuma alikuwa Leyla binti wa Muhammad Ally.
Zarika angepoteza kwa Phiri kwa leo ila basi tu. Phiri alimbana sana.Round za mwanzo walikuwa wananikosha, ila network ikawa inazingua nikaacha kutizama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leylah alikuwa ananikosha! Ukimuangalia mzuri ila anapiga ngumi balaa.Leylah ally alipigana sijui mapambano 20 na ngapi na hakupihwa hata pambano moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawalani tigo kwa kila hali wamenifanya nisishuhudie mpambano.Zarika angepoteza kwa Phiri kwa leo ila basi tu. Phiri alimbana sana.
Ni mzuri mpala keshokutwa ila alikuwa balaa..Leylah alikuwa ananikosha! Ukimuangalia mzuri ila anapiga ngumi balaa.
Nitamtafuta nimcheki.Kuna Bouw kah ni mthailand, anacheza muaithai. Huyu jamaa ni hatari sana.