Polonium210
Member
- Nov 24, 2011
- 58
- 39
- Thread starter
-
- #41
modem ni muungano wa herufi za mwanzo toka katika maneno MOdulator na DEModulator. Modulation ni kitendo cha kubadili carieer signal kutokana na sifa fulani ya message signal(i.e frequency, amplitude,phase e.t.c). Na demodulation ni kitendo cha kurudisha message signal kama ilivokuwa hapo awali. Hivyo basi hii inamanisha kwamba modem ina uwezo wa kufanya modulation na demodulation. katika radio communication signal ni lazima iwe modulated katika transimetter na demodulated katika receiver. modulation imegawanyika katika nyanja kuu mbili i.e Digital modulation na Analog modulation. katika digital modulation kuna schemes kama vile FM, AM na PM. wakati katika digital modulation kuna schemes kama PSK, QPSK, MSK, FSK, ASK, GMSK e.t.c. Kwa hiyo basi ili hiyo unayoita analog tv iweze kamata digita transmitted signal ni lazima iwe na demodulator yenye uwezo wa kubadili digitaly modulated signal kwenda katika normal message signal. Ukipima hapo utatambua kwamba modem digital ndo inahitajika na si decoder kama ulivyodai wewe. hope nimeeleweka na unakaribishwa kwa swali lolote lihusulo radio waves propagation.
Asante sana kwa Maelezo yako Mkuu! Itabidi nianzishe Thread Mahsusi kwa Ajili ya Communications Technolgy ili vijana wetu wafaidike maana nimeshawahi Kum Interview kijana amegraduate Electronics Science and Communications nikamuuliza what is Modulation hajui, What is analogue signal hajui nikasema kweli tunakazi na nikahisi Umuhimu wa Kurejea Chuo Kipiga Msasa Vijana
Ni analog to digital conveter A/D na sio MODEM mkuuMkulu Polo
Nafikiri tunahitaji kueleza kwa usahihi tofauti ya Decoder(king'amuzi) na Modem
Suala la TV za Analog kufanya kazi katika mfumo mpya wa digital litawezekana kwa kutumia kifaa cha modem not decoder.
Modem(siyo hizi zinazotumika kupata net) ndiyo inayofanya conversion ya analog to digital and vise versa
I stand to be corrected
What is analog Tv ? Is it a proccessing capability or its display ability that defines its analog or digital nature ?
Je hizi za chogo (CRT)i tunazotumia ni analog TV ?
Kama ndiyo,mbona bado zinasapoti digital transmission from a decoder ?
Mkuu TV za chogo zote ni analog na kazi ya decoder ni kuconvert digital signal to analog signal ndo maana 2naweza kuona kupitia matangazo yanayorushwa na Star times(ambayo ni digital signal) kupitia TV ze2 za chogo.
decoder ina decode an encoded digital signal to a single output, na sio ku convert digital to analog signal ,
hizo ni process mbili tofauti
Hautakufa! Zanzibar cable wametoa vingamuzi (DVB-C) ambacho unaunganisha na cable yao. channel zimeongezeka na ziko clear zaidi.Mi naomba kuuliza swali juu ya huduma ya cable.
Je mfumo huu wa digital ukianza rasmi biashara ya cable itakufa??
Na kama itakufa ni kwanin?
Na kama itaendelea kuwepo vitu vip vitaongezwa?