Mkurabitambo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2010
- 230
- 57
ukiwa unatumia Startimes ni lazima signal zikate pale tu bili yako ya mwezi itakapoisha.kwanini? Tanzania ndo kwanza tunaingia kwenye huu mfumo( katika part ya terrestrial) hakuna station yeyote Tanzania inayo tangaza terrestrially digital signals, channel 10, mlimani tv wote bado wanatangaza kwa analogy.
kinachofamika ni kwamba local Tv zote unazoziona startimes zina mkataba nao, channel 10 wanatangaza kwa analogy, startimes wanazipokea na kuzikonvet kwenda kwenye digital au wanaweza pokea directly from satellite na wanazichanganya na signals from other station baada ya kuscramble then wanatuma terrestrially.
huwezi kupata hizi free channels kwa kupitia startimes decoder kwa kuwa decoder yao ni for terrestrial signals na kwa kuwa hakuna any TV inayotoa digital signals Terrestrially huta kaa ukamate signals hata ufanyaje..
ving'amuzi vya kichina vinaweza kwa kuwa kwanza kabisa unapokea signal directly form satellite lakini kwa case ya Startimes signals zipo katika UHF band ndo maana unapokea kwa kutumia Yagi YUDa antenna.
bili yako ya mwezi ikiisha utaendele kupata TBC kwa kuwa leseni waliyo nayo startimes kutoka TCRA inawalazImisha kuibakiza TBC hata kama hujalipi chochote.
CHANGAMOTO:
kutoka kwa TCRA nchi yetu itakuwa fully digital 2013 june, lakni binafsi sioni kama kunajitihada za kutosha kufanikisha hili. elimu zaidi inatakiwa hasa kwa watu waliopo vijijini wapate kuelewa.badala ya TBC (television ya taifa ) kuonyesha vipindi kama chereko nadhani ni muda sasa kuandaa vipindi maalumu kwa ajili ya kuhimiza na kuelimisha umma juu ya hili kinyume na hapo tutaleta mgongano wa kimawazo ifikapo 2013.
wenu katika ujenzi wa Tanzainia tuitakayo
Eng Mbako