Vipi kuhusu hizi TV zetu zenye chogo (mgongo) zitakuwa hazitumiki tena?
Asante mkuu kwa kuileta hii kitu na Mimi nimeianzisha huko kwenye jukwaa la Hoja na habari mchanganyiko.
Sijui kama TCRA wanafika humu ndugu yangu polo haka kamfumo ka DVB_T katakuja kutusumbua sana mfumo niuonao mimi ungeliboreshwa na ni mzuri zaidi ni wa DVB_S tena ni mzuri kama tutahama kwenye band ya C_BAND tunayotumia sasa hivi na kwenda kwenye band ya KU_BAND kama ilivyo DSTV na tena mamlaka ya mawasiliano iwabane hawa iliyowapa vibali vya kusambaza digitali kuwa wawe na king'amuzi kimoja chenye option mbili hapohapo ya DVB_T na DVB_S ili nitakaponunua king'amuzi nikiwa jijini Dar nikitumie kwa njia ya DVB_T nikienda mikoani pasipokuwa na network ya DVB_T nitumie network ya DVB_S na tena wote hao wawe wanatumia satelite moja kama walivyo wenzetu wa Nigeria wa makampuni haya MY TV, TRENDTV, na MUVI TV
oy mwenye transpönderz za startv
Polo asante kwa ufafanuzi wako,ila nina swali
1.wenye madish,kuanzia januar 2013,watakua hawapati local chanel mf itv,startv,ten,eatv,tbc,ila watapata tv za naijeria kama wewe
2.Kama za ndani azipatikan akuna aja ya dish
Wakuu, hivi ikiwa nitanunua hizi tv za digital ambazo zina king'amuzi ndani, nitatumia account gani?
Kwa sababu kila service provider ana king'amuzi chake, kwa technology yake.
Au hizo tv ni universal, kwamba inakubali kila mtandao!
Zenye digital tunner ndani zitakupa access ya station za bure (Free to Air) kama unavyopata access ya bure ya TV za analog kwa sasa hivi, haitakusaidia kupata station za kulipia.
Ila ni muhimu tunner hiyo iwe compatible na standard itakayotumika bongo DVB-T maana kuna standard nyingi duniani.
Nimekusoma boss.
Sounds like king'amuzi cha nje hakikwepeki, maana kwa mfano Startimes unatumia antena, ila Zuku unatumia dishi,
so, likely itabidi mtu achague moja; ama kutumia minara ya startimes au aweke dishi la kawaida ambalo tunaambiwa baadaye wataondoa channel za kibongo.
Au nimekosea mkuu?!
Nimekusoma boss.
Sounds like king'amuzi cha nje hakikwepeki, maana kwa mfano Startimes unatumia antena, ila Zuku unatumia dishi,
so, likely itabidi mtu achague moja; ama kutumia minara ya startimes au aweke dishi la kawaida ambalo tunaambiwa baadaye wataondoa channel za kibongo.
Au nimekosea mkuu?!
Hahahahaaa!!!! Kila mtu anayo. Kuna point un-miss tho, Jinsi ya kudadavuwa. Wewe yako ipi mkuu?Aise! Kila mtu anayo field anayoionea! Thanx Polo!
Nimelhpenda darasa mi naomba ushauri niko mpakani na burundi huku sina uwezo na dstv je ting ya aal 003 inanifaa ? Maana antena hazishiki kabisa