Kuelekea matumizi ya Kiswahili hadi chuo kikuu, naomba tafsiri ya hii

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,168
779
Kwa mtaalamu yeyote, naomba kupata tafsiri katika kifungu kifuatacho ili angalau nione mwelekeo utakuwaje baada ya kelele za kutaka kitumike Kiswahili hadi chuo kikuu. Kifungu hiki hapa chini.

"The Hypertext Transfer Protocol (HTTP) is an application protocol for distributed, collaborative, and hypermedia information systems. HTTP is the foundation of data communication for the World Wide Web. Hypertext is structured text that uses logical links (hyperlinks) between nodes containing text."
 
Kuna nini jamani? Si mnakitaka Kiswahili, twende kazi
 
Kwa mtaalamu yeyote, naomba kupata tafsiri katika kifungu kifuatacho ili angalau nione mwelekeo utakuwaje baada ya kelele za kutaka kitumike Kiswahili hadi chuo kikuu. Kifungu hiki hapa chini.

"The Hypertext Transfer Protocol (HTTP) is an application protocol for distributed, collaborative, and hypermedia information systems. HTTP is the foundation of data communication for the World Wide Web. Hypertext is structured text that uses logical links (hyperlinks) between nodes containing text."

Mara nyingi maneno ya Kisayansi huwa yanabaki kama yalivyo ila yanatamkwa Kiswahili mfano Protocal- Protokali nk, unless kuwe na neno hilo la Kiswahili, Kama TV- Luninga
 
wanaotaka kiswahili kitumike,wamekurupuka,wengi wao lugha za kigeni zinawapiga chenga.kama lugha sio maharifa,hata tukitumia swahili kama ufundishaji ni mbovu tutakosa maharifa na ujuzi wa mambo tunayoyataka,kama kufundisha lugha mama,kunafanya wanafunzi waelewe vizuri,je ni kweli kwamba kwenye mitiani ya shule za msingi na sekondari kwenye nchi kama korea,china nk,hakuna wanafunzi wanaofeli licha ya kufundishwa na lugha zao?mi nafikiri,kiswahili kifundishwe,vile vile tuongeze lugha zingine kama france,german nk
 
Mara nyingi maneno ya Kisayansi huwa yanabaki kama yalivyo ila yanatamkwa Kiswahili mfano Protocal- Protokali nk, unless kuwe na neno hilo la Kiswahili, Kama TV- Luninga
Haya jaribu basi kwa mfumo wako angalau tuone itakuwaje, si tunajifunza!!
 
Back
Top Bottom