Kuelekea london olympic - ushiriki/ushidani wetu ukoje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuelekea london olympic - ushiriki/ushidani wetu ukoje

Discussion in 'Sports' started by Mtazamaji, Jan 1, 2012.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wafuatiliaji a wadau wa michezo
  • Ushiriki wetu au ushidnani wetu kwenye hii michezo ukoje?
  • Tuna ttarhet ya medali ngapi?
  • Michezo gani tutashirki/ tutashindana . Kwa ninisio pungufu au zaidi ya idai
  • Wanamichezo gani (majina yao) wataotuwakilisha na rekodi zao zinawaweka kwenye nafasi gani wenye medali
  • Wizara na tasisi zinashughulika na ichezo kweli zimepaga na zimetjitayarisha usnidana au kushiriki?
  • bajeti kiasi gani imeandaliwa na inatagem kutumika na k je kuna wadhamini wowote.

  Karibuni tujadili
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa sisis Tanzania ni watu wa zima moto na washiriki si washindani bado tuko kimya.
   
 3. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Msafara wa mamba kenge pia wamo.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Si mpaka sasa hatusikii chochote lakini kwa hiyo siis tumejiandaa kuwa washiriki nasi washindani . Ni aibu sana. Wenztu kenya
  • michezo ni ajira.
  • Michezo kama riadha inaiggiza mamilioni ya $$$$$$. na unia kipato ca watu hata wasio wasomi
  • Michezo ni nyenzo ya uitangza nchi kimatafifa na utalii.
  Inaonekana sisi michezo ni siasa. Mafanikio ya olympic ni bungeni. .....


  Atakayepata data tutawakilishwa na wanimichzo gani , wamejitayrshaje. walishindanishwa lini mpaka kuchaguliwa atumwagie data hapa
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu ni wanamichezo au michezo gani wameshinda kwenda kushiriki?
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mtazamaji Labda kwenye bunge hili ndio tutajua wanaokwenda kushiriki upande wa Tanzania. Michezo ya tanzaniani siasa
   
 7. b

  bibi.com JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  nimeona kwenye habari za kenya leo, kamati ya kuitangaza Kenya kwenye olimpiki imechangiwa pesa!! sisi bado tumelala na hawa walivyo watasema Mt. Kilimanjaro inaonekana vizuri ukiwa kenya!!!!!
   
Loading...