Kuelekea kumpata mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA, usomi kuwa kigezo?

wanajf,

taratibu za kumpata mgombea wa nafasi ya urais kupitia ukawa zimeanza na kwa taarifa tu ni kwamba sifa, vigezo na masharti vya atayekuwa mgombea vyote vipo tayari!

Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa ukawa wametoa kipaumbele kikubwa sana kwa suala la uadilifu, hivyo katika kuorodhesha sifa za mgombea, uadilifu ni sifa namba moja!

Chadema pamoja na ushawishi wao mkubwa ndani ya ukawa, wamejikuta wakinyong'onyea baada ya uadilifu kupewa kipaumbele! Sababu kubwa ni kwamba, yule wamtakae ana hati hati ya kutengwa katika nafasi hiyo!

Itakumbukwa matukio yafuatayo yalimchafua sana dr slaa na kumfanya asiwe miongoni mwa waadilifu katika jamii yetu:

1) kujikopesha fedha kiasi cha milioni mia moja hamsini ikiwa ni kinyume cha taratibu za chama!

2) kuiba mke wa mtu na kumdhalilisha mume wa josephine na kupelekea kuathirika kisaikolojia kwa mwanaume huyo!

3) kuhusishwa na vitendo vya ukwepaji wa kodi halali ya serikali. Hii ina jumuisha kupitia kwenye mshahara wake ambao haukatwi kodi na vifaa mbalimbali binafsi anavyoingiza nchini kwa mgongo wa kanisa.

Matukio hayo hapo juu yanamuondolea sifa dr slaa za kuwa mgombea kwa tiketi ya ukawa. Hii ni kwa mujibu wa chanzo chetu cha taarifa.

mbona wewe umewekwa kimada na yule kada wa ccm lumumba st mboni hatusemi.. Afu unabahati mbaya mpaka leo hujatunga mimba mburula weyee..
 
Magamba na makuwadi wake mtahangaika sana, poleni kwa maumivu mliyonayo.
 
WanaJF,

Taratibu za kumpata mgombea wa nafasi ya urais kupitia UKAWA zimeanza na kwa taarifa tu ni kwamba sifa, vigezo na masharti vya atayekuwa mgombea vyote vipo tayari!

Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa UKAWA wametoa kipaumbele kikubwa sana kwa suala la uadilifu, hivyo katika kuorodhesha sifa za mgombea, uadilifu ni sifa namba moja!

CHADEMA pamoja na ushawishi wao mkubwa ndani ya UKAWA, wamejikuta wakinyong'onyea baada ya uadilifu kupewa kipaumbele! Sababu kubwa ni kwamba, yule wamtakae ana hati hati ya kutengwa katika nafasi hiyo!

Itakumbukwa matukio yafuatayo yalimchafua sana Dr Slaa na kumfanya asiwe miongoni mwa waadilifu katika jamii yetu:

1) Kujikopesha fedha kiasi cha Milioni mia moja hamsini ikiwa ni kinyume cha taratibu za chama!

2) Kuiba mke wa mtu na kumdhalilisha mume wa Josephine na kupelekea kuathirika kisaikolojia kwa mwanaume huyo!

3) Kuhusishwa na vitendo vya ukwepaji wa kodi halali ya serikali. Hii ina jumuisha kupitia kwenye mshahara wake ambao haukatwi kodi na vifaa mbalimbali binafsi anavyoingiza nchini kwa mgongo wa kanisa.

Matukio hayo hapo juu yanamuondolea sifa Dr Slaa za kuwa mgombea kwa tiketi ya UKAWA. Hii ni kwa mujibu wa chanzo chetu cha taarifa.

Acha propaganda za kipuuzi. Jadilini sifa za kiongozi tumtakaye na sio kujadili watu. Hizo ni siasa za maji taka. Waache wafu wazikane wao kwa wao. Hizo propaganda zenu hazitawasaidia. Tena watu mnaowachafua kwa taarifa yako ndio mnawapa promo bila kujijua. Inaonekana huyo mtu ni tishio sana kwenu. Maana kila kukicha lazima mzushe hili na lile.

Mbona kabla hajagombea Urais mwaka 2010 mlikuwa hamsemi sana habari zake? Au bado kivuli chake cha 2010 kinawatisha kiasi kwamba mnahofia asije akapitishwa tena. Aidha, habari zako ni za uongo na uzushi. Kama ni za kweli weka chanzo na ama thibitisha hayo madai yako. Sidhani km propaganda za namna hiyo zinawasaidia sana. Inabidi mrudi darasani mjifunze namna ya kuandaa propaganda. Wenzenu wanafanya propaganda kisasa siku hizi
 
Wala sio ajabu akawa ametembea na mkeo pia kwani dr yupo kwenye mtandao hatari sana wa ngono. Na ndio maana hafai.

Hizi propaganda nyepesi mbona zilishashindwa zamani? magamba mtakufa kwa presha mwaka huu. Tulitarajia na tunatarajia mrushe mateke ovyo nyakati hizi za kifo cha ccm
 
Acha propaganda za kipuuzi. Jadilini sifa za kiongozi tumtakaye na sio kujadili watu. Hizo ni siasa za maji taka. Waache wafu wazikane wao kwa wao. Hizo propaganda zenu hazitawasaidia. Tena watu mnaowachafua kwa taarifa yako ndio mnawapa promo bila kujijua. Inaonekana huyo mtu ni tishio sana kwenu. Maana kila kukicha lazima mzushe hili na lile.

Mbona kabla hajagombea Urais mwaka 2010 mlikuwa hamsemi sana habari zake? Au bado kivuli chake cha 2010 kinawatisha kiasi kwamba mnahofia asije akapitishwa tena. Aidha, habari zako ni za uongo na uzushi. Kama ni za kweli weka chanzo na ama thibitisha hayo madai yako. Sidhani km propaganda za namna hiyo zinawasaidia sana. Inabidi mrudi darasani mjifunze namna ya kuandaa propaganda. Wenzenu wanafanya propaganda kisasa siku hizi

Mkuu,

Acha kupanick, katika hayo matukio yaliyo orodheshwa hakuna hata moja ambalo limetungwa. Yote hapo juu ni matukio ya kweli and it's unfortunate yametokana na Dr Slaa.
 
Mkuu,

Acha kupanick, katika hayo matukio yaliyo orodheshwa hakuna hata moja ambalo limetungwa. Yote hapo juu ni matukio ya kweli and it's unfortunate yametokana na Dr Slaa.

Mimi sijapaniki hata kidogo. Nimekupa vidonge vyako unywe. Nilichokisema ni kwamba toa ushahidi au uthibitishe hoja zako kwa vielelezo/viambatanisho. Na baadhi ya tuhuma ulizozitoa wewe kama raia wa Tanzania, una haki ya kumpeleka mahakamani pia huyo mhusika ili haki ikatendeke kule
 
WanaJF,

Taratibu za kumpata mgombea wa nafasi ya urais kupitia UKAWA zimeanza na kwa taarifa tu ni kwamba sifa, vigezo na masharti vya atayekuwa mgombea vyote vipo tayari!

Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa UKAWA wametoa kipaumbele kikubwa sana kwa suala la uadilifu, hivyo katika kuorodhesha sifa za mgombea, uadilifu ni sifa namba moja!

CHADEMA pamoja na ushawishi wao mkubwa ndani ya UKAWA, wamejikuta wakinyong'onyea baada ya uadilifu kupewa kipaumbele! Sababu kubwa ni kwamba, yule wamtakae ana hati hati ya kutengwa katika nafasi hiyo!

Itakumbukwa matukio yafuatayo yalimchafua sana Dr Slaa na kumfanya asiwe miongoni mwa waadilifu katika jamii yetu:

1) Kujikopesha fedha kiasi cha Milioni mia moja hamsini ikiwa ni kinyume cha taratibu za chama!

2) Kuiba mke wa mtu na kumdhalilisha mume wa Josephine na kupelekea kuathirika kisaikolojia kwa mwanaume huyo!

3) Kuhusishwa na vitendo vya ukwepaji wa kodi halali ya serikali. Hii ina jumuisha kupitia kwenye mshahara wake ambao haukatwi kodi na vifaa mbalimbali binafsi anavyoingiza nchini kwa mgongo wa kanisa.

Matukio hayo hapo juu yanamuondolea sifa Dr Slaa za kuwa mgombea kwa tiketi ya UKAWA. Hii ni kwa mujibu wa chanzo chetu cha taarifa.

Kwa uelewa wangu, hapa Tanzania Dr. Slaaa ni ICON ya uadilifu nchini
 
Hesabu rahisi za kukubalika/kuchagulika (electability) zinaonyesha kuwa mgombea urais kuwakilisha vyama vya UKAWA kwa Zanzibar inatakiwa atoke CUF, na kwa Jamhuri ya Muungano inatakiwa atoke Chadema.
 
Kweli kabisa mkuu.
Haraka haraka,karata ya UKAWA inamrudia DR Slaa.
Vipi kama mgombea wako atatoswa huko kwenu na akaomba kujiunga UKAWA,akipokelewa na kukabidhiwa bendera ataweza kuibeba? Au ataenda kwa wazalendo wajamaa wanaoishi kifahari?
 
Mkuu Joka Kuu, nakubaliana na wewe, hapa serious head hunting, lobbying na advocacy inatakiwa sana kumpata the right candidate na akakubali!, the best option ni CCM wamtose yule 'jamaa yangu' na UKAWA wamchukue, CCM itapigwa chini kama kumsukuma mlevi vile!, UKAWA wataingia ikulu kama kuingia choo cha mlango wa gunia!.
Ila pia lazima tuambiane, ikiwa CCM itamsimamisha 'yule jamaa', then, whoever atakayesimamishwa, ni kujifurahisha tuu!.

Pasco
mkuu Pasco 'yule jamaa yetu' unamaanisha' yule fisadi wa Richmond?
 
Wakati tumebaki na miezi 3 kufanyika uchaguzi mkuu CDM hawajaanza hata mchakato wa kupata mgombea Urais, je hamna wenye sifa maana kwa mujibu wa KM, 2010 mlimsubiri Six akawatosa je this time mnamsubiri nani? au kuna 'udhaifu' mahali? Nijibu tafadhali kabla mods hawajaondoa huu uzi! . Au mwanacdm anayejua why hakuna hata fununu za wagombea hadi sasa anijuze anasubiriwa nani? ahsante!
 
Mkuu,hayo maswali yako hata kama watajibu watatapatapa tu,lakini ukweli unabaki palepale kuwa cdm wadhaifu sana kwani hawajiamini kuwa na candidate mwenye sifi.
 
Mkuu HAMY-D, nimeuliza swali specifically kwa JJ mnyika kwamba Chadema siyo dhaifu? mbona hadi leo hatuwajui watiania wao wa Urais? Sasa mods wamenileta huku kwako nadhani wewe una majibu, mjibie Mnyika tafadhali narudia tena, Je chadema ni dhaifu?
 
Nchi hii inachekesha sana nadhani ni nchi pekee duniani kuwa na Rais Dokta = TZbara na Zanzibar
Mwaka huu kuna mataja nia Madoka na Maprofesa, hatujui itakuwaje, pengine tukampata Profesa au LE PROFESERI akashika kijiti.

Hivi hawa wasomi tungewatumia katika vyuo vyetu vizuri na kuwalipa vizuri sidhani km wangekimbilia SIASA na kuanza kupoteza hadhi zao.

tulitafakari hili sana
 
Back
Top Bottom