MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
wanajf,
taratibu za kumpata mgombea wa nafasi ya urais kupitia ukawa zimeanza na kwa taarifa tu ni kwamba sifa, vigezo na masharti vya atayekuwa mgombea vyote vipo tayari!
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa ukawa wametoa kipaumbele kikubwa sana kwa suala la uadilifu, hivyo katika kuorodhesha sifa za mgombea, uadilifu ni sifa namba moja!
Chadema pamoja na ushawishi wao mkubwa ndani ya ukawa, wamejikuta wakinyong'onyea baada ya uadilifu kupewa kipaumbele! Sababu kubwa ni kwamba, yule wamtakae ana hati hati ya kutengwa katika nafasi hiyo!
Itakumbukwa matukio yafuatayo yalimchafua sana dr slaa na kumfanya asiwe miongoni mwa waadilifu katika jamii yetu:
1) kujikopesha fedha kiasi cha milioni mia moja hamsini ikiwa ni kinyume cha taratibu za chama!
2) kuiba mke wa mtu na kumdhalilisha mume wa josephine na kupelekea kuathirika kisaikolojia kwa mwanaume huyo!
3) kuhusishwa na vitendo vya ukwepaji wa kodi halali ya serikali. Hii ina jumuisha kupitia kwenye mshahara wake ambao haukatwi kodi na vifaa mbalimbali binafsi anavyoingiza nchini kwa mgongo wa kanisa.
Matukio hayo hapo juu yanamuondolea sifa dr slaa za kuwa mgombea kwa tiketi ya ukawa. Hii ni kwa mujibu wa chanzo chetu cha taarifa.
mbona wewe umewekwa kimada na yule kada wa ccm lumumba st mboni hatusemi.. Afu unabahati mbaya mpaka leo hujatunga mimba mburula weyee..