Naona ameogopa hadi kwenda kwenye kumbukizi yake ya miaka motano, kamuomba CDF mstaafu amuwakilishe.Paul Makonda ndiye aliyetoa password kwa wauaji ndiyo maana sasa hivi wanamtandao wanamkumbatia sana.
Walienda na ndege gani hadi uone wangeshindwa kurudi? Au Magufuli alinunua kwa malengo ya kweda kibeba walioko vitani?Tuanze kumkumbuka kwa hili la kununua ndege,
Wapo waliokebehi na kuzarau niwaulize Je kama asingenunua hizo ndege wale watanzania waliosaidiwa kurudishwa Tanzania kutoka Saudi Arabia wangepanda Fuso kurudi Tanzania?
View attachment 3558460
View attachment 3558459
Hapo nikiangalia hio picha ya chini kuna jibu hua linajia haraka haraka, hivi Simba ukimfungia chumba kimoja na Swala au Mbuzi, ukakaa masaa 24 bila kuwapa Chakula ukirudi utakuta wote wapo kwenye hali ile ile? Usiniulize nimewaza niniWapo waliokebehi na kuzarau niwaulize Je kama asingenunua hizo ndege wale watanzania waliosaidiwa kurudishwa Tanzania kutoka Saudi Arabia wangepanda Fuso kurudi Tanzania?
Huwa mnakumbuka nini?Tuanze kumkumbuka kwa hili la kununua ndege,
Wapo waliokebehi na kuzarau niwaulize Je kama asingenunua hizo ndege wale watanzania waliosaidiwa kurudishwa Tanzania kutoka Saudi Arabia wangepanda Fuso kurudi Tanzania?
View attachment 3558460
View attachment 3558459