Kuelekea Jumamosi Upande Mmoja Taaban

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Kuna upande mmoja wa hizi timu mbili zitakazokutana tarehe 11 aisee wamechanganyikiwa... Hawana imani na timu yao hawana hamu na hii Derby... Yaani wanajitia nguvu tu lakini kiukweli kwao ni kama picha la kutisha linaenda kuwatokea kuelekea Jumamosi...

Jamani tuwaombeeni... Hali ni mbaya.
 
Kuna upande mmoja wa hizi tim mbili zitakazokutana tarehe 11 aisee wamechanganyikiwa...hawana imani na timu yao hawana hamu na hii Derby...yaani wanajitia nguvu tu lakini kiukweli kwao ni kama picha la kutisha linaenda kuwatokea kuelekea jumamosi...
Jamani tuwaombeeni...hali ni mbaya.

Nakubali utopwinyo tuna hali mbaya sana, tukipona sana ni nne bila tunapigwa!
Kambini asubuhi msaidizi na mkuu hakieleweki, msukule anachekea chooni tu!
 
Kuna upande mmoja wa hizi tim mbili zitakazokutana tarehe 11 aisee wamechanganyikiwa...hawana imani na timu yao hawana hamu na hii Derby...yaani wanajitia nguvu tu lakini kiukweli kwao ni kama picha la kutisha linaenda kuwatokea kuelekea jumamosi...
Jamani tuwaombeeni...hali ni mbaya.
Weka akiba ya maneno, mkuu
 
Tatizo lenu utopox hili...

FB_IMG_1638947126546.jpg
 
Simba Washaanza Kujistukia Tayari Na Wala Hawajatajwa , Tunasubiri Mvua Ikolee Vizuri Tuone Rasmi Panapovuja.
 
Back
Top Bottom