Kuelekea Happy Friday

asante utakuja leo best nakutegemea wewe utakuwa wakuandaa pale high table wahi mapema kabla ya saa 2 usiku best kwani mgeni wangu WILLY SMITH ameshakuja kufanya mavituz na @Rular Swaga watakuwa ma-MC wa sherehe hii
hongera mamitooooooo
 


Hiyo ya kulala itakuwa ngumu maana marejesho ataua mtu! Nitakuja mwenyewe na nitawahi kuondoka nikambembeleze kijacho!!!!
 
Last edited by a moderator:
asante utakuja leo best nakutegemea wewe utakuwa wakuandaa pale high table wahi mapema kabla ya saa 2 usiku best kwani mgeni wangu WILLY SMITH ameshakuja kufanya mavituz na @Rular Swaga watakuwa ma-MC wa sherehe hii

mhhh sidhani kama ntaweza...........kuna program fulani tunaenda mimina shem wako sosoliso.
hata hivyo Suzie atakujakuweka mambo sawa!
nikutakie kila la kheri mrembo
 
Last edited by a moderator:
Hivi hio sherehe imeisha au bado ipo

Hongera ladyfurahia uwe mtoto.mwema
 
Last edited by a moderator:
Mie ndo nashuka kwenye pantoni nakuonea wap sasa?
 


Hakuna kitu ulichonivutia kama kunyata pokea dedicationa hiyo basi mpenzi


 
Last edited by a moderator:
karibu best ni pale kigamboni ukivuka tu mtumbwi nibeep nitakuja kukupokea kuanzia saa 2 usiku mambo yanaanza pale na mgeni wangu WILLY SMITH ameshaifika nataka nimpeleke katika kituo cha ITV, TBC 1 wakamhoji kidogo kabla ya function yenyewe
Shost naogopa kuvuka upande wa pili...!!!
 
pole bestito jamani kwani ulikuwa wapi wewe kwanini ukunibeep jamani tulihairisha jana tulikwenda kwa Mtambuzi kumwona pole sana best wangu
Mie ndo nashuka kwenye pantoni nakuonea wap sasa?
 
Last edited by a moderator:
itakuwa ijumaa siku ambayo ni muhimu kwangu ila usiniambie ni kitu gani kitakuwepo kama uko dar wakaribishwa kigamboni tutakuwa na dinner party pale muda wa jioni sana watu wakitoka kwenye shughuli zao
Sasa lini tena ladyfurahia? Manake kula raha muhimu ati
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…