Mimi si mtazamaji sana wa TV mida ya asubuhi,so sijafanikiwa kuviona,imekuwa ni vyema kututaarifu abt hiyo mikoa saba,je ni mikoa gani?Mimi sitaki kujibu maswali yako kwa sababu maswali yote yamejibiwa kwenye vipindi mbali mbali vya TV asubuhi kwenye vituo vingi hapa nchini. Mimi nataka kutoa masikitiko yangu kwa wananchi wa mikoa yote ukitoa mikoa saba ambayo huduma za ving'amuzi zimefika hawatapata huduma ya habari mpaka wawe na madishi. Kulikuwa na uharaka gani wa kuzima mitambo ya analigoa wakati huduma ya digitali haijafika mikoa yote? Nafikiri serikali ina lengo fulani ambali haijaliweka wazi.
Mimi si mtazamaji sana wa TV mida ya asubuhi,so sijafanikiwa kuviona,imekuwa ni vyema kututaarifu abt hiyo mikoa saba,je ni mikoa gani?
Darisalama Arusha Dodoma Tanga Mwanza Mbeya Moshi