Kuelekea baraza jipya "EVERYBODY MARK THESE WORDS"

Kuelekea baraza jipya "EVERYBODY MARK THESE WORDS"

... kama haya uliyosema ni ya kweli basi na wewe ni mmojawapo..ni matuamaini yetu utapangiwa kazi nyingine....this pumbas

nashukuru mkuu kunikashifu ila tambua mimi siko katika namna yoyote serikalini bali mtu wangu aliyechoshwa kama wewe na mimi ndo kanipa haya niliyoleta humu jamvini.
 
mkuu MAMMAMIA umeeleweka vizuri sana. No doubt you are amoung us who are dreaming for the changes one day.
Mu-sir Mkuu, hilo la mabadiliko ndio ndoto zangu na ndoto za Watanzania wengi. Kuna kila ishara kuwa tunaelekea huko kwani hata wale waliokuwa wanaziba macho na midomo sasa wameamua kuwakana wenzao. Just few steps ahead and we win, to start the real changes.

Bora kuanza upya kuliko kupiga kwata.
 
Mu-sir Mkuu, hilo la mabadiliko ndio ndoto zangu na ndoto za Watanzania wengi. Kuna kila ishara kuwa tunaelekea huko kwani hata wale waliokuwa wanaziba macho na midomo sasa wameamua kuwakana wenzao. Just few steps ahead and we win, to start the real changes.

Bora kuanza upya kuliko kupiga kwata.

that's all we dream about. For sure you made my day mkuu siku njema kwako.
 
Mimi nishapoteza imani na serikali ya Vasco Dagama muda mrefu. Watanzania tu watu wa ajabu kweli. Eti tunafikiri kubadilisha baraza la mawaxiri itaokoa mambo. Naangalia thread ambazo watu wanahemka kila siku kuhusu mabadiliko ya baraza la mawaziri Sina hamu. Utafikiri JK ni malaika ila mashetani ni mawaziri wake. Watu hufuata kiongozi alivo.
Hivi kwanini achukue hatua ya kubadilisha mawaziri baada ya wananchi tena ambao hawana kiapo na uwajibikaji kupiga kelele?
He is pinpoint of the problem. ASIYEFAA NI KIKWETE PERIOD.
 
mkuu huyu jamaa nyumbani kwake asubuhu utakuta magari yamejaa uwani halfu jioni yameshauzwa yote na TRA anapeta tu kiufupi ni untouchable! anafanya great business kimya kimya na mpaka 2015 nchi inaweza kubaki bila kitu.

Hapa kwanza ni kubadili uongozi wa juu pamoja na chama & pili ni kuhakikisha kuwa wote waliotumia madaraka vibaya na kuliibia Taifa wanakumbana na mkono wa sheria mara moja pasipo kuchelewa. Hii ndo dawa pekee iliyobaki, vinginevyo tutaongea weeeeh!
 
Mimi nishapoteza imani na serikali ya Vasco Dagama muda mrefu. Watanzania tu watu wa shaving kweli. Eti tunafikiri kubadilisha baraza la mawaxiri itaokoa mambo. Naangalia thread ambazo watu wanahemka kila siku kuhusu mabadiliko ya baraza la mawaziri Sina hamu. Utafikiri JK ni malaika ila mashetani ni mawaziri wake. Watu hufuata kiongozi alivo.
Hivi kwanini achukue hatua ya kubadilisha mawaziri baada ya wananchi tena ambao hawana kiapo na uwajibikaji kupiga kelele?
He is pinpoint of the problem. ASIYEFAA NI KIKWETE PERIOD.

mkuu kuna thread humu ilanzishwa kuwa watu waandamane kumpongeza Da Gama nikawaambia kuwa wataharibu kila kitu ni kwa kuwa walifikiri mgonjwa anatibiwa na mgonjwa mwenzake.
 
Tutabaki kupiga kelele tu hakuna action kwa watanzania! Kama kuna mtu anaweza kuniwezesha kunipatia sniping machine, pikipiki XR niko tayari kujitoa kwa ajili ya taifa langu kukata huu mzizi wa fitina. Naweza kuichomoa shingo yako umbali wa 1km
 
Kila siku anapiga kelele kuhusu madawa ya kulevya, wakati mwanae rizwan ndio importer mkubwa wa madawa hayo kutokea brazil.
Kilichopo ni kwamba, kibali cha ku import sukari kukipata ni ishu, na anayekitoa ni Magembe, na sio mtu mwingine yeyote.
Riz icho kibali anacho, anashilikiana na wafanyabiashara wa unga kuingiza madawa, ndio maana vita inakuwa ngumu.
Hata mke wa Didas Masaburi (Janet Masaburi) nae anacho icho kibali, waindi hawakauki nyumbani kwa Masaburi kule kinyerezi...

Mkuu umemwaga mtama ....., yupo huyu mtu mwenye hii ID-ritz

ukiunganisha dots za jina lake plus avatar/picha yake yenye gamba na mijadara kama hii hutomuona akichangia coz inamwaga petrol magogoni na ghala zao anakimbilia chit chat na kule jukwaa la celebrities huku akija hapa kuchungulia na kuwahadaa watanzania, hakika hii nchi ya ajabu sana kama TEKWEKI na huyu NIWAZIRI wake hawatokuja kushitakiwa!!!!!
 
Huu huzuni usoni mwako hivi sasa hakika ni huzuni kwa kila Mtanzania mwenye akili timamu; awaye ndani ya CCM au CHADEMA soote tunatokwa ha machozi ya mtu mzima kote tulimo.

Usituone na upole wote huu wenzio ndani tunateketea na hasira vile mambo sivyo ndivyo kabisa kushoto kulia. Taifa linavuja damu mfululizo; si Igunga si Arumeru Mashariki. Haya yote hatukupata kuyafahamu enzi za Mwalimu Nyerere na ni mambo mageni kweli kweli kwetu enzi hizi!!!

Taifa letu limejeruhiwa na gonjwa lisilotibika la UFISADI kila kona na walalahoi hivi sasa maisha ndio hivo hayaendi tena.

Ewe Mungu, toa jibu sahihi taifa letu lipate kupona mara moja huku ukituzuia na aina yoyote ya uvunjifu wa sheria kama bado zinazingatiwa.


Tutabaki kupiga kelele tu hakuna action kwa watanzania! Kama kuna mtu anaweza kuniwezesha kunipatia sniping machine, pikipiki XR niko tayari kujitoa kwa ajili ya taifa langu kukata huu mzizi wa fitina. Naweza kuichomoa shingo yako umbali wa 1km
 
Duh! Kama ni draft, jamaa wanapiga mahesabu ya kete tano mbele!

ITAMFAIDIA NINI MTU AKIIPATA TANZANIA NZIMA NA MWISHO KUIANGAMIZA NAFSI YAKE?
 
Miiiko na maadili ya UONGOZI imepotea kabisa.. Naitamani Tanzania ile ya UZALENDO..
 
"Nchi hii inajengwa na wenye moyo,na inaliwa na wenye meno"-Lyatonga Mrema
 
BREAKING NEWS!

labda hawa nao wanahitaji tume.


viongozi wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa kilimanajro mecki wameingia kwenye kashfa nyingine nzito safari hii ikiwa ni ya ufisadi kwa kutumia fedha kwa udanganyifu.

Ufisadi huu wameufanya siku kadhaa zilizopita wakati wa semina ya waandishi wa habari iliyo fanyika moshi na kuandaliwa na utpc.

Viongozi hawa wametumia stakabadhi za uongo kuhalalisha ufisadi wao tena kwa kushirikiana na kncu, walewale ambao walikuwa wakishirikiana nao katika ufisadi wa kuuza sukari kwa wakenya nje ya nchi.

Wameshirikiana kwa kupewa stakabadhi zenye kuonyesha malipo ya juu tofauti na yale waliyoyafanya.

Kwa mfano malipo yaliyo kwenye risiti kwa ajili ya kukodisha ukumbi ni tofauti na yale ambayo wamelipa kncu yenyewe na hata malipo ya chakula na vinywaji ka ajili ya wanasemina imegushiwa kwa viongozi hao kudai risiti zenye kuonyesha laipo ya juu kuliko matumizi waliyofanya.

Chanzo cha habari kutoka ndani ya uongozi huo kinaeleza kuwa viongozi hao wasio waadilifu wamekuwa akiingiza kati ya 70,000 hadi 80,000 kwa siku katika semina hiyo ya siku nne.

Viongozi hao ni wamekuwa wakifanya hivyo bila ridhaa ya wenzao wengine hivyo kusababisha siri hiyo kuwa wazi. Viongozi hao ni pamoja na wale waliotuhumiwa kwenye biashara haramu ya sukari nao ni makamu mwenyekiti makundi, katibu msaidizi nakajumo, mweka hazina msaidizi rodrick na mweka hazina jane.

Pia viongozi hawa wanatuhumiwa kukata malipo ya siku moja kwa wanahabari 3 ambao walikuwa kwenye semina hiyo ambayo ni 25,000 kila mmoja kwa kutoka wakati semina inaendelea kwa madai ya kuwa ni agizo la utpc. Wamesema huku wakikataa kutoa ushahidi wa maandishi kuwa asilimia 20 ya makato hayo ynarudi utpc na 80 kwa mfuko wa mecki. Sasa tujiulize kama utpc wanahaja na hizo 5,000 kama makato ya watoro wa semina, wakati wahusika waliaga viongozi kutokana na dharura za kikazi. Kuna ambao wana mahusiano yasiyo rasmi na naadhi ya viongozi ammbao nao waliondoka lakini hawakukatwa malipo yao.

Wanahabari nyie mnaaminiwa kwa kufichua maovu, basi iundwe tune kuchunguza haya yote yaliyotokea na pia kama utpc inaweza kuungana na vilabu kufanya makato kama haya maana katika semina hiyo alikuwepo mwakilishi wa utpc yenyewe.
 
Wana JF,

Mimi nashangaa kwa wale wanaoamini kuwa JK na CCM yake anaweza kuwawajibisha mafisadi. Tatizo si hao watu wanaopewa nafasi, bali ni mfumo. Haiwezekani tena ni ndoto ufisadi ukaisha chini ya CCM.

1. CCM walichota hela BoT (EPA) zilizomwingiza JK magogoni, kwa hilo ana mbavu gani ya kupinga ufisadi?
2. Richmond/Dowans ni nani hasa jamani - Lowasa peke yake au JK alihusika. Mwakyembe analijua hilo, ila alificha baadhi ya mambo sijui ili apate uwaziri, au kwa sababu zipi.
3. TICTS ni Karamagi pekee? Kwani Karamagi si ndo aliyekaa Morogoro kuwapa wajumbe wa CC kutoka mikoa ya kusini mwaka 2005 bahasha zenye zaidi ya laki 2 ili wampigie kurs kikwete, atamwajibisha huyo?
4. Migodi ya madini, Omari Nundu, basi tu!

Kwa wale tunaojua sakesake nzima hutudanganyika na usanii wa JK na CCM. CCM ijue waloelimika wameongezeka TZ, na wanajua nini kinaendelea. Afumue baraza la mawaziri au alisuke, sitegemei kipya hapo. System ndo IMEOZA. TUSHIRIKIANE KUUTOKOMEZA MFUMO HUU!

 
Back
Top Bottom