Hakuna kitu zaidi ya kusikia ndege zimenunuliwa na huku walala hoi hatuwezi kizipanda kuacha miradi ya kuingizia pesa taifa kama bandari ya bagamoyo kiwanda cha gesi za majumbani kiwanda cha chuma liganga na kuanza miradi mipya kama ya sgr na huku hatuambiwi manufaa ya Tazara na bomba la mafuta Tazama
Kuzuka kwa kodi mpya ya sh 20000 kila kichwa
Ndugu zetu kupotea hovyo hovyo
Kubaki na Taarifa ya habari moja tuu ya TBC1
Hakuna lolote ila kuna mtu aliniuma sana baada ya kufariki alikuwa CO hospitali ya serikali. Alikuwa anatibu vizuri tu. Vyeti vya form four fake kikamuondoa kazini. Baadae alikufa kwa stress. Magufuli alikosea sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.