Kuelekea 2020: Umaarufu wa Rais Magufuli vs Tundu Lissu

Lissu hana akili
Ni moja ya watu wenye misimamo bila ya kujijua ni mjinga kupitiliza
 
Lissu hana akili
Ni moja ya watu wenye misimamo bila ya kujijua ni mjinga kupitiliza
Misimamo yenye akili ya jiwe ndio iliyotufanya kupata Noah zetu?? Uliyowadhulumu wakulima wa koroshoo PESA zao,ku-ua Democracy Tz? Au msimamo upi wa Bwana Yule unaousemea?
 
Hivi mnapata wapi ujasiri wa kumfananisha Lissu the great na viumbe wengine?
 
Lisu namuona kama jonas savimbi tu basi

Atakuwa maarufu bt jiwe naona akishinda tena kwa ushindi mkubwa tu maana ccm wanajua kucheza na raia

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna ushahidi wa kisayansi kuonesha CCM wanajua kucheza na akili ya raia. Kilicho wazi ambacho raia wengi wanakijua ni kwamba CCM wana mbinu za makusudi kabisa za kubadili matokeo halisi ya kura, hasa za urais, na kuwapa wao ushindi hata kama wwnashindwa kila wakati.

Ukitaka kipima CCM inapendwa au kuchukiwa vipi na Watanzania, jaribu kuweka tume huru ya uchaguzi angalau mara moja, na matokeo ya Rais na wabunge vyote vitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura.

Hakika Dunia itajionea maajabu ambayo yamecheleweshwa kwa miaka zaidi ya ishirini sasa. CCM itanshindwa vibaya mno kwenye ubunge na urais.

That is a FACT and CCM will never dare allow FREE and FAIR elections, unless compelled by force.
 
Back
Top Bottom