Kuelekea 2020: Umaarufu wa Rais Magufuli vs Tundu Lissu

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,000
Hawa watu walianza kusigana kwa utofauti wa Sera mwaka 2015, JPM anaamini anaongoza nchi ipasavyo na analeta maendeleo ya kweli kwa watanzania ikiwa ni pamoja na kurejesha jina la Tanzania kwenye nafasi yake kimataifa.

Lisu anapingana na namna JPM anavyoongoza nchi, anamwona kufeli kwenye kila Sera anayoitekeleza na hivyo kwa mtizamo wake Tanzania itaporomoka na kuchafuka kimataifa kutokana na msimamo wa JPM.

Yapo mambo JPM amemprove Lisu wrong kwa maana ameyafanikisha ikiwemo ununuzi wa ndege na ujenzi wa reli na yapo mambo ambayo Tundu Lisu amemprove JPM wrong hasa Sera zake kuhusu demokrasia na ishu ya mikataba ya madini.Sheria zilizotungwa Katika utawala wa JPM zinaonekana kutolifaa taifa Bali zinalifaa kundi dogo tu la watawala.

Yapo mengi yamesemwa na watu hawa na tunayaona yanavyofanikiwa na kufeli, napenda kujua ulinganisho wako kiutawala ni yupi Kati ya watu hawa wawili unaona anayoyatenda au kuyasema yamekaa kimkakati na yanaweza kulifusha Taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
to be

JF-Expert Member
Aug 8, 2016
235
250

Naona upo neutral, hujataka kuegemea upande wowote. Lakini suali la kujiuliza Mimi na wewe vitendo vinaongea kuliko maneno kwa Nini Uhuru wa kuongea unaminywa kila siku? Kama kweli unatenda haki kwa Nini unazuri watu wasikukosoe, ukikosoa you basi wewe ni adui wa taifa,si mzalendo na mchochezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
5,787
2,000
Acha kumfananisha Lissu na vitu vingine vya ajabu ajabu.

Yaani mtawala anajiita Jiwe, Kichaa, malaika mkuu, mwenye Phd ya magumashi, muoga wa lugha ya malkia, mbaguzi, katili, dikteta nk unawezaje kumlinganisha na mwanasiasa muungwana, msomi mzuri wa sheria, Akili kubwa, mwenye kujiamini, mwanademokrasia mahili, mtetezi wa wanyonge nk.
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
5,125
2,000
Naona upo neutral, hujataka kuegemea upande wowote. Lakini suali la kujiuliza Mimi na wewe vitendo vinaongea kuliko maneno kwa Nini Uhuru wa kuongea unaminywa kila siku? Kama kweli unatenda haki kwa Nini unazuri watu wasikukosoe, ukikosoa you basi wewe ni adui wa taifa,si mzalendo na mchochezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawajui kukosoa..wanajua kukejeli na kutukana..hivi mtu akikuambia hiyo tume ni profeserial rubbish..anakosoa au anakejeli na kutukana..kipimo cha uhuru wa upinzani ni enzi za jk..pitia hotuba za lissu, lema, mbowe, mnyika, msigwa..ndio utajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
5,125
2,000
Lissu ni mbwatukaji..na huwa hafanikiwi kiutendaji..nenda jimboni kwake utaona kama kuna utendaji wowote..
Magu ni mtendaji na jambo lako ni lazima lifanyike..atafanikiwa sana katika tawala zake..hata chato alitenda na anaendelea kutenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
91,479
2,000
Acha kulinganisha watu nusu na mtu mzima wewe fanatic fool walahi
Tundulissu msaliti lofa squatter Yule Hahahaha
Kweli nyie mijitu ni hovyooo kweli kweli walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom