Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,890
- 17,744
Kumekuwepo na maneno mengi kumhusu DR. W. SLAA, na mimi c mshabiki sana wa majina ya watu lakini Kwa Dr. SLAA.. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni... nimeangalia makatibu wakuu na viongozi wote wa vyama vikuu vya siasa nchini toka mwaka 1992.. Nimegundua.. ni DR. SLAA pekee., 1. aliyeweza kujenga chama cha siasa kwa mafanikio makubwa mno na kwa muda mfupi sana bila kuyumbishwa.. mf. kutoka wabunge 5-50 (the figure subjected to increase b4 2015 G. elect) 2. Ndio katibu mkuu pekee wa chama cha upinzani aliyesababisha kuvunywa na kupanguliwa kwa mfumo wote wa chama tawala tokea chini had juu, na kuweka mikakat dhaifu kama kujivua gamba, nk 3. Ni katibu mkuu pekee jasiri, mwenye uwezo mkubwa wa ku handle conflict bila kuvuruga chama(ref. Shibuda, Shonza, Mwampamba etc) na anaejibu hoja kwenye mitandao ya kijamii bila kupepesa macho. 4. Ndie Katibu mkuu peke anaeweza kuja kuwa rais wa tanzania kuelekea 2015. Tafadhal pinga kwa hoja