Kuelekea 2015 CHADEMA ipangue upya BAVICHA!

Chadema washajiishia hawana singo mpya zote wanazokopi na kupesti zimeshtukiwa.

Mkuu hapo kwenye chadema weka Cuf ndio ambao hali yao sio nzuri kwa sasa na singo zao nyinyi ndio mmeshazijua mme zikopya na kuwapest sasa hawana pa kwenda.
 
Habar wanaJF!
Napenda kutoa maoni yangu haya kwa faida ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA),
ni ukweli kwamba baraza la vijana (BAVICHA) limeshindwa kufanya vizuri kuwainfluence vijana wengi wa nchini hasa wa kijijni na badala yake limekuwa ni jiko lenye moto hafifu lenye kuwapika na kuwajenga watu wachache kisiasa hasa John Heche tu, pia ni kama vile vijana hawa wameshindwa kujua obligations zao ambapo lengo haswa ni kwa vijana wote nchini kuanzia sekondari, boda boda, vyuoni etc, na mara nyingi kazi za BAVICHA zimekuwa sawa na zile za wakina Mnyika na Slaa (mahubiri ya ufisadi tu).
Leo hii Heche na Juliana Shonza ni kama mbingu na ardhi kimahusiano yani ni vigumu kutofautisha BAVICHA na UVCCM.

My outlook:
mwakani vijana wote wenye uwezo jitokezeni kugombea nafasi ili tupate BAVICHA mpya itakayokuwa decentralized na sio centralized kama ilivyo sasa.
Mta
VIVA CHADEMA.
mtaanzisha ID nyingi sana mwaka huu!!!
 
Naona recently Chadema wamekuja na version yao ya kujivua Magamba wamesahau M4C yao.
 
Ukizungumzia BAWACHA utaeleweka lakini kutunga uongo juu ya BAVICHA tena inaonekana shida yako umseme Heche tu ndio roho yako iridhike.
Vijana jitoleeni kukijenga chama haiwezekani na haitawezekana kuwa na wenyeviti zaidi ya mmoja at a time!
Kazi za Bavicha hadi sasa ni za kupongezwa sana. Wale wanaobakia kufanya siasa za mitandaoni bila kwenda kwenye battle field mnadhani ni kazi ndogo kukusanya watu kama anavyowakusanya huko mikoani kama ilivyokuwa mjini Sumbawanga hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom