Kudumisha uhusiano katika ndoa/wapenzi

Kudumisha uhusiano katika ndoa/wapenzi

Minadhani hoja namba moja ingekua ni pesa, mana haya yote hayawezekani bila pesa.
 
ha ha ha ha,hapo ndio changamoto za maisha zilipo;kuna kutafuta na kuna kuishi pia.
Upi ushauri wako juu ya hili vipi nikae nyumbani na mama watoto huku njaa ikitutafuna ili nidumishe upendo au niendelee kupiga gia ili family iende chooni?
 
ha ha ha ha inabidi nicheke tu
 
toa ushauri ndugu mwenzio niko njia panda ujue
Kutafuta ela pia kuna umuhimu na ili maisha yaende vizuri pesa ni muhimu;na kufurahia maisha pia ni muhimu,unaweza kutenga siku zako wewe unazoona una nafasi ukazitumia vizuri na mwenzako na maisha yakaendelea.
 
sawa mkuu ila tatizo kazi za watu hazina kujitengea muda maana ukizingua kazi huna.
 
Ni kweli mkuu,hapo ndipo tunapata machungu ya kutaka kujiajiri katika shughuli mbalimbali.
 
Back
Top Bottom