Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Heheheh!Tatzo watu hmu mnadhani kila anaekuja anataka kumfatilia mke au mpenzi wake cc wengne tuna maadui wengi hasa makazini mm binafsi natumia sana hz application na zimenisaidia sana nishashtukia michezo mingi sana kabla haijafanikiwa la cvyo cjui ningekuwa wp mda huu!
Sent using Jamii Forums mobile app