Nkonzi JR
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 324
- 195
Jamani wadau naombeni Msaada kwa wataalamu wa simu ,jinsi ya kufatilia SMS, call za mtu kupitia simu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
No nimuhimu Mkuuu kunajambo naitaji Msaada ivyo naitaji watalamu wanisaidie nawezaje......... Kufatilia text au call Za mtu kwa namba ya simuunataka ugundue nini mkuu jiamini utapata pressure bure
Tunaweza kukusaidia ila ni hatari kwa afya yakoJamani wadau naombeni Msaada kwa wataalamu wa simu ,jinsi ya kufatilia SMS, call za mtu kupitia simu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitajiiii huo msaada kakaTunaweza kukusaidia ila ni hatari kwa afya yako
Msaidie tu acha uchoyoTunaweza kukusaidia ila ni hatari kwa afya yako
Mkuuu cjakuelewa hapoooGarama ya kupata uduma hiyo ya kuona mawasiliano yote ya namba ya mtu unayemfatilia ni Tsh 40,000 kujiunga Download App (Ms Tanzania) utapata maelekezo yote humo jinsi ya kujisajili.....
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Download App inaitwa MsTanzani utapata maelekezo yote ya kujiunga umo ila ili kupata Uduma utalipia sh 40,000 kujisajili
Poa mkuu ila njia ninayoijua mimi inahitaji uwe na simu ya unaetaka kumdukua japo kwa dk2 tu
Poa mkuu namsaidia
Tabia mbaya hyo ili iweje everyone deserve privacy.No nimuhimu Mkuuu kunajambo naitaji Msaada ivyo naitaji watalamu wanisaidie nawezaje......... Kufatilia text au call Za mtu kwa namba ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni moja ya utapeli. Ebu acheni kushawishi wenzenu wapoteze fedha zao bureDownload hiyo App hapo alafu fata maelekezo
Hila kama unamfuatilia mwanamke na unampenda unajua uwezi kumuacha basi achana nayo kwani utapata maumivu bure mwisho wa siku utajinyonga mwenyewe...View attachment 849300View attachment 849301
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
MKUU NILIDHANI ULICHAGULIWA NA JIWE,HAUONEKANITunaweza kukusaidia ila ni hatari kwa afya yako
Hahahah! nipo mkuu sema nilikua na shida kidogo ila nashukuru Mungu tupo pamoja tena.....MKUU NILIDHANI ULICHAGULIWA NA JIWE,HAUONEKANI