Curtiz
JF-Expert Member
- Oct 1, 2021
- 1,313
- 2,491
AsanteKama ni mwanamke muandalie tukio.
Ila kama ni mwanaume mpotezee.
Hustler huyoooo.
One day atatambua kosa lake.
AsanteKama ni mwanamke muandalie tukio.
Ila kama ni mwanaume mpotezee.
Hustler huyoooo.
One day atatambua kosa lake.
Duh pole mi kuna mtu alinipiga laki6 aisee nilimfuataPole sana mkuu maumivu unayopitia niliwahi pitia,Dada yangu wa damu alinidhulumu million 3 week nzima sikupata usingizi.
Basi achana nae mzee, focus na kuzisaka zaidi na kuhusu pesa usimwaminiy yote hata mzazi wako atakudisappointTatizo linaanzia hapo simudu yaani watu ni wabinafsi sana.
Ishu nilimuachia afanye negotiation na watoa huduma fulani afu mimi ni focus na kazi sasa amount aliyokuja kuniambia mimi nikakubali sasa katika kuuliza na kutaka kujua ile huduma ina cost kiasi gani nimegundua jamaa kaninyoosha pakubwa sana.
Marafiki wa kibongo sio. Niliwakopesha, kudai changu sikulipwa. Nikabadili formation ya kudai kwa kuwakopa ile kuwaektia nimekwa napo sikukopeshwa. Marafiki wa kibongo ni wakubishana nao mpira tu.Pole sana, kuna watu sio waaminifu na ni matapeli wa chini chini.
Mtu unamuamini na kumsaidia anapokwama ila wakati wa kurudisha anajizima data.
Alikudhulum Kwamba hujampa au vipi?Pole sana mkuu maumivu unayopitia niliwahi pitia,Dada yangu wa damu alinidhulumu million 3 week nzima sikupata usingizi.
Nilimpa pesaAlikudhulum Kwamba hujampa au vipi?
Hizi stori za kudhulumiwa zimekuja kipindi ambacho nimempa Mtu wangunwa zamani 5M tufungue biashara mimi niko Mkoa mwingine.Ishu nilimuachia afanye negotiation na watoa huduma fulani afu mimi ni focus na kazi sasa amount aliyokuja kuniambia mimi nikakubali sasa katika kuuliza na kutaka kujua ile huduma ina cost kiasi gani nimegundua jamaa kaninyoosha pakubwa sana.
Alikataa kukulipa akisema hujampa pesa au hana pesa wakati huo? Au pengine alipata matatizoNilimpa pesa
Nilipo mtumia pesa akafanya mambo mwengine ya kwake.Alikataa kukulipa akisema hujampa pesa au hana pesa wakati huo? Au pengine alipata matatizo
Undugu uliendelea??Pole sana mkuu maumivu unayopitia niliwahi pitia,Dada yangu wa damu alinidhulumu million 3 week nzima sikupata usingizi.
Ndio unaendelea ni dada yangu akitoka yeye ni mimi ila sitomuamini tena.Undugu uliendelea??
Mimi hapo unabaki undugu jina tuNdio unaendelea ni dada yangu akitoka yeye ni mimi ila sitomuamini tena.