mzee ni balaa tupu, yaani usiombe alafu sijui kmeniroga ata kukiacha sieziMtoa Mada umenikumbusha kitu Kazi kweli kweli wanamapenzi ya ajabu na wanapata shida kuya express kwa mlengwa na matendo wanaofanya unajua kabisa wanafosi ukaribu hawajui kuset matukio wagen kweny sekta yupo mmoja namuitwa Miss annoying kakataa kukaa kwao eti na yeye anajaribu kupanga aanze life
Ukitoka nje akijua upo nje atatoka nje ajifanye anaanika nguo anajisahau [emoji23] unakuta ananiika hadi nguo chafu akikuona
Umeshika mzinga anageuka mshaur nasaha wana tabu sana watu tumekuja kujificha mbali na dunia [emoji16] kama wakimbinzi unaleta pigo sizo
Hawa ndo wanakuaga na mapenz ya tamthiliya bora Wale wa local watoto wa kipwani wakina mwajuma hatar Sana try them at your own risk
mzee ni balaa tupu, yaani usiombe alafu sijui kmeniroga ata kukiacha siezi
Kudate na wakishua.ya nn sasa
[emoji6][emoji52][emoji6][emoji6][emoji6]ety waongo, alafu ni waoga kinyama
Nataman kuacha ila nikiwaza utamu najikuta naendelea[emoji23][emoji23]
Umeanza
to some extentkumbe mnajuana
Siezi ni nini?mzee ni balaa tupu, yaani usiombe alafu sijui kmeniroga ata kukiacha siezi
Sijawai kuwapenda ... Nataka mwajuma tu tit 4tat.....
[emoji3] hawa viumbe mpaka atoke kwao ni balaa, yaani hawataki kusikia, waga nakitungia uongo ila unadundavijinga sana..kikilewa mapenzi kinaanza kukushawishi ukigongee kwao kwakua hakiruhusiwi kutoka ovyo....niliwahi koswa na mbwa yale mapitbull kwa kujifanya mi sunir sheti kwenda kukagongea kwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aya si ndo mambo, unaona sasamke wangu ni mtoto wa ocd, na nilianza mahisiano nao baba ake akiwa mkuu wa upelelezi wa wilaya.
aliwahigi kunitumia difenda imejaa wagalagia nikawakimbia.
uzuri kulikuwa na to mmama mtu mzima nikamweleza amkalishe ocd wake na kesho yake nikapeleka posha na mahari m3 siku hiyohiyo.
mkwe ananikubali sana kana kwamba akilewa namtunzia bastola yake.
kanishawishi nijiendeleze kielimu ili aniunganishe na anko Magu kupigia kwa rso nile uteuzi.
oeni ushuani mle mema ya nchi.
Bongo hakuna mshua proper.Hivi mpaka awe na kitu gani ndo tumwite wakishua?