Halafu anasema yeye sio changudoa ati anadanga tuVipi mzee baba kuna mrembo kakudangia?
Kwahiyo udangaji ni umalaya wa gharama zaidi ?According to wanaodanga maana yao ni kwamba wao wanaona ipo tofaut kati ya kudanga na uchangudoa as in anaedanga huwa anatafuta mtu mwenye hela ya kutosha ili aweze pia kumfanyia mambo makubwaa kama kununuliwa nyumba na gari na mengino ili hali changudoa yeye anatafuta pesa kidogo tu ya kujikimu na kutatua matatizo yake madogo madogo
Wasalaam wakubwa na wadogo ,
Siku hizi msemo wa kudanga umeshika sana momentum yaani tena waziwazi kina dada wanakwambia sina kazi yeoyote nina danga tu, hivi kuna tofauti kati ya kudanga na uchangudoa hadi watu wajitoe ufahamu na kuona udangaji kama moja ya kitu halali kabisa ?
Nawasilisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kahaba namba 1 umeniacha hoi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji860][emoji860]Wanachokifanya hawa wadada wadangaji ni sawa na kukwepa ngumi kwa kufumba macho.. mdangaji ndie kahaba no.1 maana bila pesa haumpati...[emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha mohamedy kumuita mudy,moo au medyWanapunguza makali ya neno uchangudoa tu. Zamani kudanga kulikuwa kunaitwa kuchuna buzi.
Mimi naona ni yale yale; Saidi kumuita Side.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupata vizuri sana...kwahiyo kuna watu wanajua wanawachumba kumbe wanawadangajiHiyo ni biashara moja tofauti ni uendeshaji tu....changudoa anaweza lala na wanaume hata saba kwa siku,ila wadangaji akimpata danga anakomaa nalo na anaweza kudumu nalo kwa mda flani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha..na ni kweli transaction zote mbili zinahusisha kubadilisha mbunye kwa pesaVyovyote iwavyo, kuna kutoa mbunye ili apate pesa. Mengine ni mbwembwe tu.
Oooh kumbe kudanga ni level kubwa ya umalaya!!!According to wanaodanga maana yao ni kwamba wao wanaona ipo tofaut kati ya kudanga na uchangudoa as in anaedanga huwa anatafuta mtu mwenye hela ya kutosha ili aweze pia kumfanyia mambo makubwaa kama kununuliwa nyumba na gari na mengino ili hali changudoa yeye anatafuta pesa kidogo tu ya kujikimu na kutatua matatizo yake madogo madogo
Hakika wateja nisisi ila tahadhari tuzichukue kwani now nimeona hakuna utofautiSiku hizi wateja wamepungua huko walikokuwa wanajiuza. Saizi ni mwendo wa kimya kimya, kuwafuata wateja popote walipo.
So, wanajiuza indirectly. Wadangaji ni wale wale waliotoroka kambi ya madada poa; japo wapo wachache ambao siyo type ya kupanga foleni viwanjani.
Tuwe wapole tu, maana wao wauzaji nasi ndiyo wanunuzi wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app