enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,096
- 3,651
Yes yes call her yes she is loving you yes she loved kisura too
Jamani mi ni pacha ake deputy president wa saludalam.
Jamani mi ni pacha ake deputy president wa saludalam.
I too thought she was your woman.Hey man, Kisura is my daughter. Not my woman.
But she’s growing so fast, man.
Whole Foods is dope.
Yan nimeangalia picha tu ngoja niscreen short nipeleke kwa mme wangu akanitafsirie
Oooj nimesahau mme wangu hapendi ubuyu duh jaman !
Khaaaan ingilishi isi mai bigi enemi
We nyani andika Swahili word...![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi ngabu,upo mtoni?????
So we hoped in our car and went...!!!!!!!?????
Hapa kidogo naona yai limekuwa viza
Usisahau wengi tumesoma kiingereza cha Mr and Mrs Daudi.Oh yeah?
We talk like that around these neck of the woods.
What else?
Ushamba wa Wasukuma na hii thread vinahusiana vipi?na siku zote wasukuma ni washamba... nimekuelewa sana mkuu
Hebu nieleweshe namieYaani leo ndo nimeelewa post ya Ngabu
Usisahau wengi tumesoma kiingereza cha Mr and Mrs Daudi.
Nakumbuka few years ago niliandika 'where u at?' huwezi amini kuna watu walinicheka eti kiingereza gani!Watu wanapenda mno kukariri!
Sasa hapo ningeandika ‘what had happened was...’ sijui angesemaje.
Kiingereza nacho kina lahaja nyingi tu!
Nakumbuka few years ago niliandika 'where u at?' huwezi amini kuna watu walinicheka eti kiingereza gani!
Jamaa kaona hoped in our car moja kwa moja neno liliomjia kichwani ni HOPE....hajui wewe umemaanisha HOP aka leap aka jump!Oh yeah?
We talk like that around these neck of the woods.
What else?
Huwa unatumia maneno ambayo sielewi maana yakeDuh!
Kwa nini?
Huwa unatumia maneno ambayo sielewi maana yake