Kudanga ilikuwa zamani

Niambie nifenye Nini ili wadangaji wawe wananisumbua Kila siku maana huku niliko Niko mwenyewe sioni hata wa kunisumbua walioko kwenye visaloon wanajibeba Sana Kama watoto wa vigogo
Huna pesa akutake nani sasa???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti siku hizi mnasema kuna wadangaji? Hawa wa chips mishikaki na bando la buku?
Mtu unadanga bado unazidi kuchakaa si uache?

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…