Hizo poda kama wanga hahaahahaahha
Kama misukule vile
.........pesa pesa...........!!!
Alafu nasikia mpaka jamaa hasomeki kama rijali ama la
pesa isikie hivyo hivyo tu,inatutesa kweli.
Nalog off
mhhhhh.........
nakaa kimya mkuu.We nyamaza tu.
MziziMkavu, hiki ni kipaji, bila kuanacho huwezi fanya hayo mambo hadharani hivyo, ni kama kucheza ngoma za utamaduni, abinafsi siwezi kabisa
Alafu nasikia mpaka jamaa hasomeki kama rijali ama la
wew ulijuaje bibie? kama alitoswa na Demu wake?hahaaa mie sijui..najua tu kuna kipindi fulan dem wake alimtosa
Afu akizipata hapo anaenda kumhonga zoooote farkhina...