Heche: Kutumia Pesa za Chama Sioni Tatizo

Heche: Kutumia Pesa za Chama Sioni Tatizo

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
881
Reaction score
774
Mimi kutumia pesa za Chama sioni tatizo, ni pesa za Chama mnakata azitumie nani? Et jamani mnataka tukakope ili kulipa mishahara na malupulupu ya viongozi wa Chama? Nini maana ya kuwa na wanachama sasa kama viongozi magari yetu yatakosa mafuta? Hizi pesa tutazitumia hadi wanaohoji matumizi washike akili- John Heche
HTNOBmiWkAAd51y.jpg
 
Mm n familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote tuna Sema sawa na bado tunachanga mijihela. Mbona wao wanakula pesa kodi z watanganyika. C.A.G kasema.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mods, ondoeni hii takataka ya uwongo kutoka kwa huyu ibilisi. Ni vema hata angepigwa ban kwa kuleta habari ya uwongo. Heche hajatoa kauli ya namna hiyo!!

Huyu ibilisi Zak Abdul, kutengeneza hii hadithi, anaona ametumia akili kubwa sana.
 
Back
Top Bottom