Nakumbuka kuna tukio moja habari yake nililipata mtandaoni, kulikuwa na kigorofa, mwenye gorofa aliweka hidden camera katika vyumba ambavyo kawapangisha wapangaji wake, yeye(mwenye nyumba) kwake ni chini kule ground floor! kila wapangaji wakifanya mapenzi mwenye anapiga chabo kupitia kwenye screen na kulikuwa na screen kibao, kila screen kimeunganishwa na camera ya kila chumba.
Siku moja, mpangaji na mpenziwe ktk harakati za kutafuna raha zao, mwanamke aliliona camera dalini juu akiwa katika mkao wa 'Kifo cha Mende' akamshtua bwana wake kaona hidden camera dalini mechi ikakatika, yule bwana akaifuata camera dalini na kuichomoa kwa nguvu kumbe kulikuwa na waya uliounganishwa moja kwa moja hadi kwa mwenye nyumba.
Mwenye nyumba kuona screen moja imechomolewa cable hapo akatafuta upenyo wa kukimbia, bahati mbaya au nzuri kulikuwa na wapangaji wengine nje ya ghorofa nao walishtushwa na ile hamaki ya mwenye nyumba wao, baadae ndo wakatokea hao wapenzi waliokatishwa mechi na kueleza kilichowashtua na wapangaji kusikia hivyo nao wakasachi kama hidden camera kama mavyumbani mwao.
Bahati nzuri wakazikuta hidden camera, ndipo wakapiga simu polisi na kufanya ukaguzi wakagundua ni kweli mwenye nyumba aliwapiga chabo wapangaji wanaofanya mapenzi.
Hii stori sikumbuki vizuri source niliipata siku nyingi sana ila picha nzima naikumbuka vizuri, ilitokea Uingereza miaka ya nyuma.
Kula chabo ni matatizo ya kisaikolojia,ukizoea hata mkeo utamla kozi.
<br />Nenda zenj utawaona weng wanatembea na ngaz,stul na vigoda kazi kudandia madrishan na kupga chabo si vijana hadi watu wazima.ni halitabia ya mtu na kuendekeza
Mimi kama miaka 3 iliyopita niliwahi kusikia habari katika BBC kuhusiana na jambo kama hilo. Nilishangaa sana kusikia kuwa wanaume huko Kenya wanachungulia watu wanaofanya ngono. Tatizo lililoelezwa wakati ule ni la kisaikolojia kwani wanaume walifanya hivyo kwa lengo la kuamsha nyege ili waweze kusex na wake(au wapenzi) zao. Hii ilitokana na kwamba hawana hisia za kimapenzi ili kuweza kusex na wenzi wao. Kilichonishtua zaidi ni kwamba baadhi ya wanaume hawakuweza kabisa kuamsha ashiki kwa kuchungulia majirani zao wakiwa wanapeana maraha hivyo wakatafuta ufumbuzi mwingine wa kutisha! Walialika mwanaume ambaye yuko fit kwa makubaliano na wake yao, huyo mwanaume alikuja na kusex na mke wakati huo mume akiwa ameketi pembeni akishudia mechi hiyo lengo likiwa ni kutaka kuamsha nyege zake! Ni hatari kwelikweli!
manzese kuna gesti zina vitundu maalum
na wafanyakazi wa gesti wanawalipisha watu pesa kuchungulia kwenye vitundu hivyo
mimi zamani sana nilichukua msichana
ilikuwa ndo my first time
sijasahau mpaka leo nilipogindua tunachunguliwa....lol
Hata katika baadhi ya mahotel makubwa katika majiji mengi duniani kuna mchezo huu wa kutegesha hidden camera vyumbani unaofanywa na wafanyakazi waovu. Inabidi unapoingia chumbani hata katika mahotel makubwa ufanye search ya nguvu chumbani kuhakikisha chumba kiko salama vinginevyo wanaweza kukuchora na hata mkanda wako kuwekwa mtandaoni.