Kuchukuliwa mke inauma

Kuchukuliwa mke inauma

Na hii inahusika pande zote...kwa mke na mume.Cha hajabu unasikia mume wa mtu maziwa...mke wa mtu sumu.
These days wanawake nao wameamua kumwaga mboga.
KikulachoChako
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na matukio yote haya bado tu unaamini kuwa hiyo theory bado ina nafasi kwenye kizazi hiki? (Do me I do you! Tit for Tat)

nyinyi kuwa na wanaume wengi ni janga kwenye familia,kijamii na kithamani pia kwakuwa mwili wako unatumiwa na kila mtu unakuwa hufai
 
Hivi kumbe huwa mnaelewa kuwa mapenzi yanaumiza eeh... Sasa mnavyojihalalishia michepuko mnadhani wanawake wana mioyo ya mawe??!!!

Wanaume cku zote wanapenda wao ndio watendewe mema tu na kupendwa kwa dhati na wanawake wao lakin hawapendi kurudisha yote hayo kwa wapenz wao,wao ndio wa kwanza kulalamika pindi wanapoumizwa ila wao wanapo waumiza wapenzi au wake zao huona kuwa ni sawa tu .Hii ndio selfishness ya wanaume dhidi ya wanawake
 
Polisi jamii

Mnachekesha na kusikitisha kwa wakati mmoja kwelikweli!Ama ndio kale kausemi kenu ka, mme akikutwa ametoka nje ya ndoa anaitwa mwanaume rijali ilihali akikutwa mwanamke huitwa malaya?
 
Last edited by a moderator:
Kwahakika inauma sana , kuna dhambi nimeshawahi kufanya popote yule kijana anisamehe kwa maana naona inanitafuna kwakweli.
 
Khaa!! Badala ya kumlisha vizuri na kumfungia ndani kwa usalama mbuzi wako wewe unahangaika kuwauwa fisi
Utauwa fisi wangapi??
 
Back
Top Bottom