snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
Pole sana...unaonekana bado una makovu ya huba...maana kwa jinsi ulivyopanic.......mungu atakujaalia utapona tu.........
kama ulivopoa wewe,hahahahajaha uuuuwih!!
some piiiiipo!!
Pole sana...unaonekana bado una makovu ya huba...maana kwa jinsi ulivyopanic.......mungu atakujaalia utapona tu.........
kama ulivopoa wewe,hahahahajaha uuuuwih!!
some piiiiipo!!
hivi kumbe wanawake hawana michepuko!!!!
Hahahaha.....nimecheka kinomaaaaa
Hiyo misemo tu... Hakuna utamu wowote zaidi ya kujihalalishia ubazazi tu.Mke / Mume wa mtu ni mtamu, acheni lakini usiombe ya kukute
Asikwambie mtu, kunyang'anywa tu girlfriend inauma sembuse mke.
Mwenyezi mungu akuepushie mbali simuombei hata Adui yangu kuumizwa na mapenzi inauma hata kuhadithia siwezi...Sijawahi kuumizwa...na sitaumizwa...
Mke / Mume wa mtu ni mtamu, acheni lakini usiombe ya kukute
nyinyi kuwa na wanaume wengi ni janga kwenye familia,kijamii na kithamani pia kwakuwa mwili wako unatumiwa na kila mtu unakuwa hufai
Na wewe ni mke wa mtu?