Kuchomwa na jua

beevenom

JF-Expert Member
May 1, 2017
313
430
Habarini wandugu,wiki hii katikati nilienda shamba na kipindi nikiwa nafanya kazi nilivua t- shirt na kupaki na singlend na kipindi nafanya kazi kulikuwa na jua kali kidogo sasa jioni narudi home nagundua eneo lilikuwa wazi limekuwa na weusi wa kupitiliza na leo naona ngozi inababuka na kutoa ngozi ngozi. Pia bila kusahau nilivaa pump na kupiga dawa ya kuunguza majani lakini nilivaa sweta ,raincoat na gloves. Sasa sielewi tatizo nini nini.

Naomba msaada wadau yaani ngozi inajitokea tu na jua likiwaka napata muwasho kwa mbali. Okoeni jahazi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom