mimi huwa navaa kadeti alafu nachomekea(hata leo nimevaa hivyo) tena kadet zangu nazipunguzaga kidogo urefu zinakua don't touch flani hivi kwa mbali,chini napiga moka na juu napiga shati (long sleeves) la draft (slim fit) bila kusahau ka saa mkononi fresh tu,nakua smart