Kuchoma mifuko ya Plastic kwa ajili yakuwashia moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchoma mifuko ya Plastic kwa ajili yakuwashia moto

Discussion in 'JF Doctor' started by pilau, Oct 9, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kuna tabia imezuka sehemu mbalimbali hasa uswahilini .......watu,wananchi wenye kipato kidogo, hasa wale wanaoshindwa kununua mafuta ya taa kwa matumizi ya kawaida, wameamua kuchoma mifuko ya plastic kwa ajili ya kuwashia majiko yao ya mkaa, ni jambo la kawaida kupata harufu za mifuko hiyo hasa wakati wa asubuhi ....... nini madhara yake
   
Loading...