Mara ya kwanza nasafiri na basi mkoani, kufika porini kondakta WA basi anasema, haya wale wanaotaka kuchimba dawa washuke, Mara naona watu wanajisaidia haja ndogo, ala ikabidi kuuliza, kumbe huko ndio kuchimba dawa??

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.