Kuchimba dawa na watoto

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2010
Posts
3,257
Reaction score
8,178
Naomba madereva waache tabia ya kushusha watu porini eti abiria wachimbe dawa. Watoto wadogo wanaona dudu za wakubwa (wake kwa waume) na hata restaurant/baa zingine zina vyoo visivyoweka kingo kiasi kwamba mkisimama kupunguza maji utakuta kitoto kidogo nacho kinasimama pembeni kinapunguza huku kikichungulia dudu za wakubwa.

Au basi watoto waanze halafu wakubwa wafuate
 
Kuchimba dawa porini ni kinyume na bylaws za utunzaji wa mazingira...hivyo acha tu wachungulie hizo dudu zenu.
Mtu mzima unakata gogo porini, sasa sijui fuko, nyani na nguruwe pori wakanye wapi!!!
 
Bado tu mnachimba dawa maporini si mlishakatazwa nyie lakini?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Dah.. Umenikumbusha mbali sana..
Ila wanawake wanavyokojoa ni kishawishi tosha.. Ukute kavaa suruali tu bila hata khanga..
Akishusha suruali tu.. Yalaaaaa..
 
Sema madudu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo inawafanya wenye vibamia wasijiamini jamani!!!
Mtu akati yuko mdogo aliona limzigo la mtu mkubwa, Anakua akisubiri afikie size ile ila haifiki!!! Si ndo mwanzo wa kuvunjika moyo huo!!!
Umechangia pumbaaaa
 
Napenda sana kuchimba dawa maporini, yaana unaangalia misambwanda live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…