kuchimba dawa na madhara yake!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuchimba dawa na madhara yake!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Rebel volcano, Jun 24, 2012.

 1. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nini hakuna sehemu maalumu zilizojengwa kwa ajili ya wasafiri kukidhi haja zao??!!!(kuchimba dawa kama ilivyozoeleka)
  tunapokuwa kwenye basi kila mmoja ana magonjwa yake,na magonjwa mengine huambukizwa kwa njia ya kinyesi au mkojo,hili swala la kundi kubwa la mabasi kuchimbisha dawa abiria wake sehemu mmoja tena vichakani hakuna choo hakuna maji hakuna huduma yoyote ya maana,uchafu na magonjwa yanaenea ovyo ni kitu ambacho kinatakiwa kiangaliwe upya,ili kujali afya za wasafiri,na kuepusha miripuko ya magonjwa.
   
 2. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  sehemu maalum zimekosekana town itakuwa bush... we vip bana!
   
Loading...