Kuchepuka sio kosa?

Kuchepuka sio kosa?

Chill down mkuu, mkeo furaha yake itarejea ikiwa tu utafanya moja kati ya haya mawili.
Kama hana uhakika kuwa ulichepuka basi wekataa na ikibidi apia kabisa ili uokoe ndoa yako.
Kama alikukamata na anao ushahidi basi piga goti mkiwa wawili na omba msamaha kisha badilisha ratiba yako uanze kurudi home mapema na vijizawadi visikauke.
Hawa tumeumbiwa sie mazee....😂
Asante sanaaaaaa ndugu ushahidiii usio na shaka na tendency ya kuchelewaa kurudi home na pia kunywa pombeee kiasiii Mimi sio MLEVIIIIII ni mnywajii wa kistaarabu..

All in all , nataka nijirekebishe kwenye eneo ulilo niambia na mke kawa na kisirani amani hakuna na issue ya mchepuko nasimangwa sanaa sanaa..

For sure naipenda sana hii familia yangu changa...
 
Tatizo wengi wanakosa upendo kutoka kwa wake zako.kama unakuta mkeo ka furaha kama andazi za mama Amina.

Hakuonyesh upendo utaachaje kuchepuka. kwa iyo usilaumu kuchepuka jiulize umekosea wap mpaka kachepuka.
Ukichepuka UNAKUWA umesovu tatizo umeongeza tatizo?.

Wanawake wote wanafanana KWENYE mapenzi, huyo unaona tofauti SABABU hujafunga NAYE NDOA.

NI SAWA NA MTU MJINGA ALIEACHANA NA MWANAMKE KISHA AKAOA MWANAMKE
 
Back
Top Bottom