hapo ndiyo wanaume mnapojidanganya na bora muendelee kujidanganya
wanafikiria tukishazaa tunapata monoposeBaadhi ya wanaume miss chagga. Huwa nashangaa sana kusikia mrembo analilia dushe na mumewe/BF anamnyima kwa sababu moja au nyingine. Sijui ndiyo nguvu za dushe hakuna au ni kitu gani, lakini huwa hainingii akilini mrembo kunyimwa dushe hadi aamue kulitafuta nje.
Ckuweza pata mimba,na kwa vile cjawai toa mimba mpaka sasa na watoto 2 nisingeweza itoa,ndio maana nikasema somtym mnachangia kulea watoto wasio wenu ,maisha ya kudanganya ckuzoea afu course ningeumia kupata mimba isiyo ya Mme Wang nimpendae at the end of day ningemwambia sababu kiukwel sikupenda kutoka nje ili hali nilithamin mwili Wang na sikumpenda mchepuko sababu hakuwa Mme Wang mpnz japo alinipa furaha niliisha lkn kwake nilipata mwili gafla USO ulipendeza had Mme Wang alinishangaa,hayo ni mapito sasa nafuraia maisha ya ndoa sababu Mme Wang kajifunza kitu ,Mchepuko haujakutia mimba? Kama hujapata mimba je, ikitokea mchepuko ukikupa mimba utamwambia mumeo au utambambikizia watoto wa mchepuko wako?
Hahaha kwakweli sometime michepuko ina imarisha ndoa.Ckuweza pata mimba,na kwa vile cjawai toa mimba mpaka sasa na watoto 2 nisingeweza itoa,ndio maana nikasema somtym mnachangia kulea watoto wasio wenu ,maisha ya kudanganya ckuzoea afu course ningeumia kupata mimba isiyo ya Mme Wang nimpendae at the end of day ningemwambia sababu kiukwel sikupenda kutoka nje ili hali nilithamin mwili Wang na sikumpenda mchepuko sababu hakuwa Mme Wang mpnz japo alinipa furaha niliisha lkn kwake nilipata mwili gafla USO ulipendeza had Mme Wang alinishangaa,hayo ni mapito sasa nafuraia maisha ya ndoa sababu Mme Wang kajifunza kitu ,
Ckuweza pata mimba,na kwa vile cjawai toa mimba mpaka sasa na watoto 2 nisingeweza itoa,ndio maana nikasema somtym mnachangia kulea watoto wasio wenu ,maisha ya kudanganya ckuzoea afu course ningeumia kupata mimba isiyo ya Mme Wang nimpendae at the end of day ningemwambia sababu kiukwel sikupenda kutoka nje ili hali nilithamin mwili Wang na sikumpenda mchepuko sababu hakuwa Mme Wang mpnz japo alinipa furaha niliisha lkn kwake nilipata mwili gafla USO ulipendeza had Mme Wang alinishangaa,hayo ni mapito sasa nafuraia maisha ya ndoa sababu Mme Wang kajifunza kitu ,
That's me kabisa bana lol. Nikionaga thread za mwanamke kuchepuka huwa naenjoy sana comments za humu especially za men. Kwa sababu men mmeshaamua kucheat ni nature yenu and you will never be apologetic. Hapa ingekuwa ndo mwanaume anajisifia kuchepuka, weee angeonekanaje rijali. Au mwanaume akiomba tu ushauri mke anasumbua, anapewa the best solution "kuchepuka. My standing on cheating haijawahi kubadilika though, tena haswa kwa wanaume. But please lemme enjoy some mapovu banaMh! Wameiba pw yako? Maana sikutegemea kuyasoma haya toka kwako 🙂🙂 au ndiyo 2017 imekuja na mambo mapya na Heaven Sent mpya. Unadhani kuna haja ya kubadili jina na kuwa Hell sent hahahahahahaha lol! I am just joking, BAK will always be BAK sometimes very mischievous.
Shostisto mie nimepita tu nikakuona hapa......Kwenye haya maisha ukitemtegemea mtu awe chanzo cha furaha yako utaishia kupata stress tu utaishia kulia na mto tu......
Kila mtu anapenda kupendwa, anapenda kujaliwa,
Bad news wanaume mnajisahau mno mapenzi na kujali kwenu ni kwa washkaji wa whatsapp!!!
Good news kuna wanaume wenzenu wanaona hayo na kuchukua nafasi....
kisia we jipe raha as long as unapata amani ya moyo, usisahau Kinga
Koh Koh [HASHTAG]#nasubirikesi[/HASHTAG] [HASHTAG]#kamatiyarohombaya[/HASHTAG]
That's me kabisa bana lol. Nikionaga thread za mwanamke kuchepuka huwa naenjoy sana comments za humu especially za men. Kwa sababu men kucheat ni nature yenu and you will never be apologetic. Hapa ingekuwa ndo mwanaume anajisifia kuchepuka, weee angeonekanaje rijali. Au mwanaume akiomba tu ushauri mke anasumbua, anapewa the best solution "kuchepuka. My standing on cheating haijawahi kubadilika though, tena haswa kwa wanaume. But please lemme enjoy some mapovu bana. All in all katika hili jifunzeni kuwa wake zenu wanahitaji sana attention yenu, wewe upo mbali miezi 3 unafika kwa mkeo eti nimechoka, afu ukiwepo unashinda bar kama paka mmh
Msisema hamjaambiwaKweli kabisa ,ukiona mwanamke amechepuka ujue yamemfika,Mimi nilikuwa mwaminifu sana na ninampenda mno Mme Wang ila kila akitoka masomo yuko mkoa mwingne anaweza kaa miezi 3 hata 4 namvulia cku akirudi hana mda anakwambia nmechoka ilifikia hatua akirud nalilia mapenz kutokana na ile hamu ya kumvumilia lkn hakujali hisia zangu ,yan Mimi ndo nashida ya mapenz yeye wala nilivulia sana sababu nilikuwa na hofu na mungu na upendo nilionao kwa Mume ilifikia mda nikachoka,nikaamua kuwa na mchepuko kiukwel hata simu zake niliona kero akipiga,akisema kakata ticket anarud nikamjibu hata usiporud in shot nilikuwa najikuta namjibu ovyo siku alipoingia ndan ndo kwanza sins hata habar nae na mgongo nikampa kitu ambacho alikiona kigen kazoea akirud nalilia dudu ndo nipewe kwa kutoa machoz nilimjibu nko vizr hivyo apumzike, kiukwel nilinogewa nje na aliniambia nmebadilika nikamjibu kwa jeuri umenibadilisha wewe,alikir makosa sababu alijua mkewe hayuko ivo na toka hapo hakuweza nisumbua aliongeza mapenz na upendo na ndo alizid nipagawisha zaid, kwa kuwa ckupenda kuchepuka na amejutia kosa nikaongea na mchepuko narud kwa ndoa yng na mpaka Leo nko vzr na ndoa yang,niseme tu wanaume sio wote mnajisahau sasa ukiona make nae haelewek ndo unastuka jaribun kurud kwa mstar ,hii inafanya weng wenu kulea watoto wasio WA kwenu kwa mambo km hayo
Ngoja nimjibieMchepuko haujakutia mimba? Kama hujapata mimba je, ikitokea mchepuko ukikupa mimba utamwambia mumeo au utambambikizia watoto wa mchepuko wako?
Umeona eeehThat's me kabisa bana lol. Nikionaga thread za mwanamke kuchepuka huwa naenjoy sana comments za humu especially za men. Kwa sababu men mmeshaamua kucheat ni nature yenu and you will never be apologetic. Hapa ingekuwa ndo mwanaume anajisifia kuchepuka, weee angeonekanaje rijali. Au mwanaume akiomba tu ushauri mke anasumbua, anapewa the best solution "kuchepuka. My standing on cheating haijawahi kubadilika though, tena haswa kwa wanaume. But please lemme enjoy some mapovu bana. All in all katika hili jifunzeni kuwa wake zenu wanahitaji sana attention yenu, wewe upo mbali miezi 3 unafika kwa mkeo eti nimechoka, afu ukiwepo unashinda bar kama paka mmh.
Labda game za nje zinamchosha sana. Maana siku hizi bana uliyesimama kanisani kuapa ni wewe, ila anayetimiziwa mahitaji ya mke ni mwingine. Hakuna binadamu aliyezaliwa faithful naturally afu msisahau tumesamehewa dhambi na sio majaribu. No justification for cheating though, ila play your part well kama mume/mkeHapo ni shida mume anaikimbia papuchi hata kama wanaishi pamoja, labda ndiyo nguvu za kiume zimeshapotezea hivyo njemba inabidi tu ikimbie papuchi. Inanishangza sana kusikia mume anakimbia K, sasa kwanini unaoa kama huna uwezo wa kumtimizia mkeo matamanio yake ya kimwili?
Ngoja nimjibie
Mimba itakuwaya ya mume.no matter what
Ila jamani mie si nishaaga kwenye huu uzi????
Tena utasikia wanasema eti " men are polygamous in nature".......Hivi kwa upande wa wanawake ndo huwa mnajua kwamba kuna magonjwa wakichepuka, nyie hamjuagi eti?
Hapa wangeshamtaja zamani role model wao Mfalme Suleiman. Ila mwanamke akichepuka utahisi tupo wapi sijui, vifungu vinavyoshushwa + kukemewa na kulaaniwa kwa kuchepuka haha. Ndoa na iheshimiwe na wanandoa wote wawiliUmeona eeeh
Roho imewauma wanamtoleaje mapovu mleta uzi
Ndio maana mie napita tu hapa
Labda game za nje zinamchosha sana. Maana siku hizi bana uliyesimama kanisani kuapa ni wewe, ila anayetimiziwa mahitaji ya mke ni mwingine. Hakuna binadamu aliyezaliwa faithful naturally afu msisahau tumesamehewa dhambi na sio majaribu. No justification for cheating though, ila play your part well kama mume/mke