Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,329
Inawezekana kabisa wanawake wanachepuka kuliko wanaume (am sure)Mimi huwa nawashangaa watu wanaosema wanawake hawachepuki kama wanaume.
Hehe kwa hiyo unatumia shield ya nyimbo za yesu kuchepuka eeh. Una la kujibu.
Wee usimsingizie Heaven kwamba hana mchepuko 😀😀😀Ila wanawake wasiochepuka wapo japo sijawahi waona.
Nadhani mpwa wangu heaven atakuwa mmoja wao
Mh!, machozi ya mamba?nani aliwaibia akili???? shukuru sana umepata bogasi
glucose zingekuwa zimepungua mwanachuo angekuwa anatoa machozi?????
Wewe nenda kwa mwanachuo, mkeo aende nae anakokujua akapate mautamu tatizo liko wapi!! Lakini ujue dawa ya moto kwa sasa ni moto sio tena maji,sasa unachobisha sijui ni nini au unataka ligi tu.
Huwa anajitetea saana na naamini kauli zake huwa zinatoka moyoni.Wee usimsingizie Heaven kwamba hana mchepuko 😀😀😀
Aseeeee!Inawezekana kabisa wanawake wanachepuka kuliko wanaume (am sure)
Mkewe anaenda kwa wazee wa kazi wazee wa takko elf 20 and above.....lolWewe nenda kwa mwanachuo, mkeo aende nae anakokujua akapate mautamu tatizo liko wapi!! Lakini ujue dawa ya moto kwa sasa ni moto sio tena maji,sasa unachobisha sijui ni nini au unataka ligi tu.
Nlikuambia tuchepuke ukaringa eti unalinda ndoa, unalinda ndoa we ni suma jkt?Aseeeee!
Hizi ndoa hizi, mbona tunakatishana tamaaEvelyn Salt sasa ni bora tu lile deal letu liendelee hakuna namna.
Huyu nahisi bado hajawajua wanawake nahisi ni mgeni kabisa ndo maana anajisifia kwa sifa yakumtoa mwanamke machozi.Ha ha ha ha ha ha ha eti wamtoa machozi
Dogo mwanamke ni jambazi asie na silaha
Kujitetea tu? Mbona hata mi huwa najitetea nalia hadi napata kwikwi 😀Huwa anajitetea saana na naamini kauli zake huwa zinatoka moyoni.
Au ndiyo wale wale wa account 6 ?????
Chuma cha mjerumani jifunze kwa wenzio
Ha ha ha ha ha ha ha eti wamtoa machozi
Dogo mwanamke ni jambazi asie na silaha
Aseeee sasa Niko tayari...ila chonde usiniweke kwenye kichupa nikasahau wanaoNlikuambia tuchepuke ukaringa eti unalinda ndoa, unalinda ndoa we ni suma jkt?
Nlikuambia tuchepuke ukaringa eti unalinda ndoa, unalinda ndoa we ni suma jkt?
Kitendo cha kujisifu umemtoa mwanamke machozi kimedhihirisha huwajui wanawake wewe ni dogomimi dogo?????
namimi ni askari nisie tembea na pingu
Kujitetea tu? Mbona hata mi huwa najitetea nalia hadi napata kwikwi 😀
Ni kuishi kama haujui. Ukisema ufuatilie utateseka sana.Mkuu sasa kweli tulio ndani ya ndoano si inabidi tu tuendelee kupoza machungu. Otherwise kuna siku ukigundua unaweza kujirestisha in Peace.