Labda kina James na kaoge hata mie inanishangaza.Mi nnachojiuliza hadi sasa......
Wanawake hatutakiwi kuchepuka, tukichepuka dhambi, tunaenda kinyume na asili.... Sasa WAUME ZETU WANACHEPUKA NA KINA NANI? Au wanapiga mashouga???
kumbe na wewe fyatuu. nitembee na shoga wakati watoto wabichi wapo.
ukitaka nirudishe penzi kaa utulie usinipekue/usinichunguze na wivu wakitoto uache.
ukifanya hivyoo ata michepuko naacha.
Haha haaaa eti wamesema Kwani sisi huko kote tulipo na hizo "accounts" hatuna michepuko?Wanawake kwenye kuchepuka wajanja saana. Hadi ukagundue sio kesho.
Unakuta mtu ana account JF. Fb. Insta. Snap na kote anamichepuko na kugundua tu anaaccount zote hizo huwezi jua.
Michepuko sisi tunakuwa nayo na huwa tunakamatika kiurahisi. Sisi michepuko huwa tunaipa hadi namba za simu tunazotumia kila siku.Haha haaaa eti wamesema Kwani sisi huko kote tulipo na hizo "accounts" hatuna michepuko?
Je ni sahihi kwetu kuwa nayo na si sahihi wao kuwa nayo?
Aaah walikuwa na maswali magumu sana. Yaani Evelyn Salt ametoa mbinu za hatari hapa.
ππππWabichi ndio hao wa chuo au unaongelea ubichi wa nguo? Asee kaka kuwa makini tu.
Hizo hela unazomuhonga ungeweka kwa ajili ya shule ya watoto wako ingekuwa vyema zaidi kuliko kumlipia mchepuko shule halafu akimaliza chuo anamalizana na wewe pia.
Out of topic hii ni dalili umedata, huenda na glucose imepungua mwilini
Ngoja watakuja tu... Kungwi lao espy ni hatari zaidi.Michepuko sisi tunakuwa nayo na huwa tunakamatika kiurahisi. Sisi michepuko huwa tunaipa hadi namba za simu tunazotumia kila siku.
Ila kwq wanawake waache tu ndiyo maana wanabaki kusema wanaume wanaongoza kwq kuchepuka.
Kuna jamaa yangu alishawekwa kwenye huu msururu wakati tunasoma. Yule mtoto wa kihehe ashindwe kwa jina la yesu aseeh.Mwanachuo lazima namaanisha lazima awe na msululu wa wanaume kama watoto wa bata.....
Boyfriend wa chuo, kulala wote usiku baridi kulala mwenyewe mwisho ubanwe kifua.
Msuuza rungu, huyu anapendwa kwa ajili anagawa dozi ilioenda Shule.
Papaa zombie, zee la kumhudumia we kila wiki mtu anasuka nywele si chini ya 30 wazazi wapo huko tambaautwikekapulanyege unadhani hela atoa wapi.
Bado mchumba aliemuacha home anasubiri amalize chuo.
Chuma cha mjerumani heri ungejisifu unapiga beki tatu, make kwa beki tatu utakua ni wewe tu labda na mwanao anapiga piga kufanya mazoezi
Hata sisi tunaipa namba ile ileMichepuko sisi tunakuwa nayo na huwa tunakamatika kiurahisi. Sisi michepuko huwa tunaipa hadi namba za simu tunazotumia kila siku.
Ila kwq wanawake waache tu ndiyo maana wanabaki kusema wanaume wanaongoza kwq kuchepuka.
Wewe nenda kwa mwanachuo, mkeo aende nae anakokujua akapate mautamu tatizo liko wapi!! Lakini ujue dawa ya moto kwa sasa ni moto sio tena maji,sasa unachobisha sijui ni nini au unataka ligi tu.nani aliwaibia akili???? shukuru sana umepata bogasi
glucose zingekuwa zimepungua mwanachuo angekuwa anatoa machozi?????
Na wanachezeshwa kama kete za draft, no kujuana huku kila mmoja akipata huduma yenye kiwango cha lamiKuna jamaa yangu alishawekwa kwenye huu msururu wakati tunasoma. Yule mtoto wa kihehe ashindwe kwa jina la yesu aseeh.
Alikuwa na wanaume sio chini ya 10 per.
Mshikaji yeye alikuwa ana msaidia class.
Kuna jamaa alikuwa wa kudumu yupo kwao ambaye ndiye kaja kumuoa.
Kuna kibopa wa tigo .
Kuna jamaa mmoja dereva scania.
Hapo hapo chuo alikuwa na jamaa in service wa kozi nyingine yeye alikuwa na x5.
Na wengine kibao. Na mdada alikuwa pin kweli
Wabichi ndio hao wa chuo au unaongelea ubichi wa nguo? Asee kaka kuwa makini tu.
Hizo hela unazomuhonga ungeweka kwa ajili ya shule ya watoto wako ingekuwa vyema zaidi kuliko kumlipia mchepuko shule halafu akimaliza chuo anamalizana na wewe pia.[/QUOTE
ada ya watoto niliitafuta miaka 7 iliyopita ata nikidondoka leo watasoma mpka chuo.
ata akimalizana na mimi inashida gani. anajua na mke na namba yake sijawai save. anaheshima nikiwa nyumbani hatumi mesage wewe kilaza unae kimbilia mesage unapotea njee ya mstari.
akituma mesage ni mesage za kodi(code) ata ukisoma maisha yako huwez elewa.
Mwanachuo lazima namaanisha lazima awe na msululu wa wanaume kama watoto wa bata.....
Boyfriend wa chuo, kulala wote usiku baridi kulala mwenyewe mwisho ubanwe kifua.
Msuuza rungu, huyu anapendwa kwa ajili anagawa dozi ilioenda Shule.
Papaa zombie, zee la kumhudumia we kila wiki mtu anasuka nywele si chini ya 30 wazazi wapo huko tambaautwikekapulanyege unadhani hela atoa wapi.
Bado mchumba aliemuacha home anasubiri amalize chuo.
Chuma cha mjerumani heri ungejisifu unapiga beki tatu, make kwa beki tatu utakua ni wewe tu labda na mwanao anapiga piga kufanya mazoezi
Wabichi ndio hao wa chuo au unaongelea ubichi wa nguo? Asee kaka kuwa makini tu.
Hizo hela unazomuhonga ungeweka kwa ajili ya shule ya watoto wako ingekuwa vyema zaidi kuliko kumlipia mchepuko shule halafu akimaliza chuo anamalizana na wewe pia.
Ha ha ha ha ha ha ha eti wamtoa machozinani aliwaibia akili???? shukuru sana umepata bogasi
glucose zingekuwa zimepungua mwanachuo angekuwa anatoa machozi?????
Mimi huwa nawashangaa watu wanaosema wanawake hawachepuki kama wanaume.Hata sisi tunaipa namba ile ile
Ila hata ukikesha na simu utaambulia patupu, unapekua we mi mwepesiii nazunguka ndani na shughuli zangu huku naimba imba.
"yesu unipendeeee leo kuliko janaa, kuliko janaaa kuliko janaaa..... "
Muishi na sisi kwa akili
Hahaaaaaa we we ni konyooo!Hata sisi tunaipa namba ile ile
Ila hata ukikesha na simu utaambulia patupu, unapekua we mi mwepesiii nazunguka ndani na shughuli zangu huku naimba imba.
"yesu unipendeeee leo kuliko janaa, kuliko janaaa kuliko janaaa..... "
Muishi na sisi kwa akili
ππππ
Ha ha ha ha ha anapiga mtoto alievaa nguo mbichi (mtoto mbichi)
Nimecheka mie ha ha ha ha ha
Sure.Na wanachezeshwa kama kete za draft, no kujuana huku kila mmoja akipata huduma yenye kiwango cha lami