Kuchepuka raha

Benny anakusalimia!
 
Ni kweli kabisa, family nyingi zinasimama, watoto wanafika mbali kwa ajili ya mama kupambana.
MUNGU atujaalie maisha marefu kina mama wote Amen.
Kina baba mutuombee (in magu's voice)
 
.
Ukipata na mahitaji ya kifedha shukuru Mungu teh.....
 
😀Nimekucheka ujinga.
Ulikubali kuolewa kwa hiyari yako leo ndio unakiona kibamia?

Hiyo si ndio best choice yako? au unafuga kambale nowadays.
Mwanzoni haikuwa bamia ila baada ya kuchepuka ameona imekuwa kibamia? Huyu ameathirika na matunizi ya matango yale yaliyowekwa mbolea nyingi yakaumuka sana.
 

Hivi unajua wanawake wana cheat sana ila kimya kimya na hawa cheat coz of usawa ni kutafuta pleasure na wengine wako na sababu zao wenyewe.
 
Nimekupenda Nyani Ngabu
 
Mwanzoni haikuwa bamia ila baada ya kuchepuka ameona imekuwa kibamia? Huyu ameathirika na matunizi ya matango yale yaliyowekwa mbolea nyingi yakaumuka sana.
Sio tu mwanzoni, ndo ujue mke anakupenda pamoja na mapungufu yako, na shida zako anakuvumilia, anakuthamini, badala yake unamuona fala..... Akichoka kuonwa fala ndo matokeo yake hayo
 
evely salt ndo anamapepo mengi ndo tumuombee. yeye sehemu yoyote anainamishwa anapgwa dyudyu.
Ila mimi kuniombea hautaki eti jirani?
Hayo sio mapepo, huyo ndio mke sasa, yaani kila ukimuhitaji yuko tayari. Sio wale wa oooh nimechoka,mara oooh ninaumwa. Upewe nini tena kama sio mke mwema kama Evelyn Salt???
Haya sema Ameeeen!!
 
Nimekupenda Nyani Ngabu
Demi ni haki yako kumpenda nyani ngabu...ila mshaur mwenzako vizuri kuhusu ndoa yake..even if mume wake anacheat haiwezi ikawa ndo sababu ya yeye kutokwenda kuulizwa na Mungu wake kwamba alifanya nn ili kuuilinda ndoa au alismama kiasi gan kuijenga hii ndoa.akumbke tu every success need a sacrfise...na Mungu hazijui dhambi njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…