Kuchepuka raha

Sasa wanaume wenyewe ndio hawa wanajisifia kuhongwa unategemea tusichepuke kweli[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mwanaume anasifiwa kwa kazi tu si kuhongwa kwa kibamia hapo mke kuchepuka lazima
 
Atakayesoma humu atakuwa mlinzi au askari sugu hata bar watapunguza kwenda safari za kushitukiza kama magu ofisini zitahamia nyumbani[emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nipo nyumbani naangalia cartoon, naona watoto wananiangalia halafu wanainama wanacheka. Kicheko chao sijakipenda, sijui wananijadili nini?
 
Sasa mwalimu wa biology unataka watu wachizike na ugwadu?

Wewe kama mchepukaji utampata tu mchepukaji mwenzio. Hutaki usioe tu.
 
Ukichepuka na mie you won't regret
Hebu try me please, I love you
Hihiiiiiii![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji4] usije ukanuia boxer bureeee nikaweka kambi alafu ukanisahaulisha somo lote hili la Mabeijing!
 
Hihiiiiiii![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji4] usije ukanuia boxer bureeee nikaweka kambi alafu ukanisahaulisha somo lote hili la Mabeijing!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Vita yetu sie taratiiiiiibu na akili mingi, si wanatuonaga mazezeta!! Utasikia hawa mwalimu wao kipofu, wakati wanasahau wao ndio walimu wetu.

Shhhhhhhh!! Usiwape siri mama wasijegutuka.
 
Nipo nyumbani naangalia cartoon, naona watoto wananiangalia halafu wanainama wanacheka. Kicheko chao sijakipenda, sijui wananijadili nini?
Wanakufurahia baba yao upo nao mida hii. Wenzako wako busy bar kwenye deals zao hawajui hata sura za watoto wao, inawezekana pia hata jina la shule wanayosoma au hata darasa wanalosoma hawajui!
 
Nipo nyumbani naangalia cartoon, naona watoto wananiangalia halafu wanainama wanacheka. Kicheko chao sijakipenda, sijui wananijadili nini?
Haaa si walishakula haina shida wanamuona mama ana furaha hana stress mie najilia matunda huku naendelea
 
Hihiiiiiii![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji4] usije ukanuia boxer bureeee nikaweka kambi alafu ukanisahaulisha somo lote hili la Mabeijing!
Msije mkabanduana kikweli kweli nyie! Hii mada ni ya kujenga maadili ya wanandoa!
.
.
Do Not Allow Nature To Take Its Place. Pls
 
Haha haaa. Ntakuja kuongeza uzoefu mpya ili kuboresha ndoa. Huko inaonekana yaliyomo yamo. Ila tumuheshimu maza house plizzz!
Uje uimarishe ndoa
Si mnasema mwanamke ni kama Chama cha siasa anahitaji upinzani ili aimarike.... Njoo baba mimi ni chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…