Kuchepuka raha

Kwakweli huwezi kubishana na asili, mwanamke ukishikwa na ugwadu huku mume anakitembeza nawe kitembeze tu usishindane na nature.
Ha ha haaa nature na ichukue mkondo wake!
 
yani wewe utakuwa na kadegree kamishe mishe. ni mchaga. mweupe.


ningekuwa mme wako ningebadilisha dini niwe muislam nioe mke wapili jeuri yako itaishia hapo.
Hapo unapooa mke wa pili na yeye katulia tu kusubiri dudu lako?
 
chanzo ni nyie wanawake.

unatafuta mchawi wakati tunguri umezificha chini ya kitanda.
Vita kati ya hizi jinsia mbili haziwezi kuisha. Kwa mtazamo wako unaona tatizo ni sisi. Na sisi pia tunaona tatizo ni nyie. Hakuna namna sasa tuendelee na maisha haya haya!.
Michepuko yenu tumeshaizoea ni wakati sasa mzoee yetu. Inachoma lkn mtafanyaje sasa! Hamna jinsi!
 
Bahati nzuri kiberiti ni cha wote, angalia usije ukatiwa wewe kiberiti kabla mkeo.

Ndio muombe sanaaa hilo balaa lisiwakute, maana watoto watamkosa mama yao. Piga goti sali san.
Nimependa ulivyonojibu nilijua utatoa povu.ila Mimi kibiriti hakitanihusu.
 
Sasa tunacheza muziki walioupiga wanakasirika tena!! Khaaah!! Hawa viumbe bwana!
 



mkianza kushindana na sisi mtawatesa mama zenu baada ya talaka.
 
Tuvumiliane tu kwakweli. Na wawe na adabu sio wananza kutuchoma moto ala!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…