Kuchepuka raha

Yaani leo ndiyo wamekuwa watoa nasaha tehetehe mkuki kwa nguruwe
 
Poleni sana,mtakuja kufa na magonjwa.Kila mchepuko una michepoko zaidi ya 5 ya pembeni ,,,,,,tafakari mkuu
Uko sahihi mkuu, ukifanywa mchepuko jua kuna wenzio nao wamefanywa hivyo hivyo hivyo kuna mlolongo.
 
Nimekusoma na kukuelewa mno na huo ndiyo ukweli nothing else
 
Wala usiogope. Ndoa zenye raha zipo nyingi. Ni wewe tu kutambua majukumu yako kama mume na umpende mke wako kwa dhati. Kama na yeye anakupenda na kukuheshimu basi utaenjoy. Omba tu upate mke aliyetulia. Na usiuchukulie utulivu wake kumnyanyasa.
.
.
Kero kwenye ndoa zipo na hutashindwa kuzikabili.
.
.
Ndoa ina raha yake bwana!
 
Hiyo kawaida tuu, ila kwako kumbe mgeni!
Ila kusema ana kibamia baada ya kuzinguana lakini umesahau kujiuliza pia Inawezekana una u.c.h.i mkubwa hadi mwenzio akahamisha kambi kwako hapati raha anaelea tuu.
 
Chepuka lakini mambo ya kuanza kumsema eti kabamia ni upumbavu.Ina maana sasa ndio unagundua kuwa ana kabamia?
Ee alikuwa hajui sizes, sasa kaonja multiple 'dushes' ndo mana kagundua kuwa mume ana undersize
 
Are you married?
Yes or nah
 
Eh bhna eeee!!!! Sikulaumu kwasababu hata mm nataka nimuingilie huyo mchepuko wako
 
Yaani leo ndiyo wamekuwa watoa nasaha tehetehe mkuki kwa nguruwe
Wapewe ukweli wao leo. Na watambue kuwa wakiwatenda wake zao basi watagongewa vya kutosha kama wao wanavyogonga huko nje!
 
utakavyotaka wewe yawe ..
 
Mhhh,
Hv kuchepuka ndio jawabu?anyway hongera zako but hayo mambo ya kibamia sijui hajui kitu unayoyasema ni udhalilishaji kwa mumeo ila kila la kheri.
Ameikula kwa furaha hiyo Bamia kwa miaka mingi, ajabu kumkuta kambale kwenye dimbwi la mvua akili imemhama!! Asubiri mvua ikatike ataijua thamani ya Kibamia
 
unamponza mchepuko wako ipo siku atakalia panga

wewe ni sumu hujijui tu
 
Maskini mumeo kumbe ana kibamia sasa ukikutana na mimi mwenye mguu wa mtoto si utaomba talaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…