Mimi sio muumini wa uchepukaji na napinga hilo suala,unachotakiwa ujue nikwamba bado jamii yetu haijakubali kuona ni jambo la kawaida mwanamke kuchepuka,kikubwa usishindane na mwanaume kihivyo badala yake tafuta suluhu,mimi hata suala lakusikia dada anaingia gesti huwa inaniuma lakini maumivu yake siyo kama nikiina kaka yangu akiingia gesti kufanya ushenzi.Hiyo mentality ya nani anajidhalilisha zaidi inatoka wapi kwamfano!! Kama ndio hivyo mbona huwa hamchepuki na wanaume wenzenu? Au nyie mnajisikia raha kuchepuka na anayedhalilika?
Mtulie tu kama mnavyotuliaga wanaume wenzenu wakichepuka na kuwapa namna nzuri, mpeni mtoa mada pia maujanja ili asidhalilike na isijulikane.
Suluhisho jingine ndio hilo la kuchepuka huku ndoa ikiendelea kuwa ya furaha teleeee.Swadakta kabisa ndio maana nakusisitizia mshauri mwenzako vyema. Ukishawekwa kati na mshirikina hujitambui, suluhisho sio kumpa kichwa aendelee kulipiza anatakiwa yeye ndo awe msaada kwake kumtoa humo, akishindwa talaka zipo akaishi kwa amani na anaemridhisha.
Taratibu jamii itabali tu kuwa hata kMimi sio muumini wa uchepukaji na napinga hilo suala,unachotakiwa ujue nikwamba bado jamii yetu haijakubali kuona ni jambo la kawaida mwanamke kuchepuka,kikubwa usishindane na mwanaume kihivyo badala yake tafuta suluhu,mimi hata suala lakusikia dada anaingia gesti huwa inaniuma lakini maumivu yake siyo kama nikiina kaka yangu akiingia gesti kufanya ushenzi.
Watuombee tu kwakweli maana hamna namna nyingine tena.Tatizo lenu ni moja. Wanawake wawe na maadili nyie mfanye upuuzi isionekane hamna maadili. Mnawafundisha nini watoto wenu wa kike na wa kiume?
.
.
Kwanini tusiungane pamoja kurekebisha maadili ya jamii yote kwa ujumla? Jiangalia jinsi ulivyo...je ungependa mtoto wako wa kike aje kupata mume mwenye tabia kama zako? Uko proud na tabia zako na huna shaka mwanao akipata wa kufanana na wewe?
Tusiongee tu ili mradi tunaongea..tusikariri misemo ambayo kiuhalisia haitekelezeki.
.
aliyekuambia mwanamke akichepuka ni aibu kwa jamii. Jamii ipi? Hiyo aibu nani anaona? Mchepukaji au jamii?
.
.
Na je wewe mwanaume unayechepuka jamii inakuonaje? Rijali ama? Tuache kukandamiza upande mmoja..tuhubiri maadili both sides na hapo ndio tutafanikiwa. Jamii itaelimika vipi km maadili atekeleze mwanamke peke yake? Elimu itusaidie jamani.
.
.
Mnasomesha watoto wenu wa kike mnategemea mawazo yake yaendane na ya mwaka 47? Dunia haipo hivyo..kila kitu kinabadilika.
.
.
Mume na mke wapendane, waheshimiane na michepuko iwe mwiko! Ukichepuka nami unanipa mzuka wa kufanya umayofanya..tena natamani haswa yaaani. Unanipa vishawishi mwenyewe bila kujijua.
Na muache kutuambia habari ya nature yenu wanaume maana imeprove wrong! Kwa maisha ya sasa nawasihi muache kuchepuka maana mnawafundisha wake zenu tabia mbaya!
.
.
Hiyo aibu kwa jamii ifafanue vizuri. Kama muhusika haoni aibu inamuathiri nini? Watu hawana aibu wanafanya kwa kukusudia. Aibu ni pale unapofumaniwa...i
otherwise ni raha tu.
.
.
BILA KICHWA CHA NYUMBA KUBADILIKA MENGINE HAYATAENDA SAWA. Badilikeni nyie mnaojiita vichwa! sisi tunafuata muongozo wenu. Nyie ni madereva wa malori sisi ni makondakta. Msije mkawa kama yule anayejitapa dereva wa lori kumbe lori lenyewe limekongoroka na service hafanyi!
Kwakweli waanze tu kufunga na kufanya toba na sala. Watuombee sanaaaa, #siosisininature#[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Aaaah leo wamegeuka kua waijilisti na wachungaji hatari sana na wafanye maombi kabisa yakuombea wake zao.maana wake tumeomba weeee na kufunga hadi tosha sasa zamu yao.
Ndio taratibu tu jamii itaikubali tu kama ilivyokubali ufuska wa wanaume maana hata hao wanaume wanachepuka na wanawake mjue!!Mimi sio muumini wa uchepukaji na napinga hilo suala,unachotakiwa ujue nikwamba bado jamii yetu haijakubali kuona ni jambo la kawaida mwanamke kuchepuka,kikubwa usishindane na mwanaume kihivyo badala yake tafuta suluhu,mimi hata suala lakusikia dada anaingia gesti huwa inaniuma lakini maumivu yake siyo kama nikiina kaka yangu akiingia gesti kufanya ushenzi.
Kamdhalilishaje sasa wakati kasema tu ukweli jamani[emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Wew unamdhalilisha mumeo wakati anakuoa ulikuwa hujui kwamba anakibamia
Daah hiyo jamii ipi unayoizungumzia, ndugu jua dunia imebadilika kila siku wanamwona mme anachepuka kuanzia ngazi ya familia hadi ya mtaa unafikiri mke akichepuka watashangaa nini?Mimi sio muumini wa uchepukaji na napinga hilo suala,unachotakiwa ujue nikwamba bado jamii yetu haijakubali kuona ni jambo la kawaida mwanamke kuchepuka,kikubwa usishindane na mwanaume kihivyo badala yake tafuta suluhu,mimi hata suala lakusikia dada anaingia gesti huwa inaniuma lakini maumivu yake siyo kama nikiina kaka yangu akiingia gesti kufanya ushenzi.
Yaani kama tulikuwa tunafikiria the same, hahahaaa!! Wao si ndio vichwa!! Walete suluhisho maana hata watuchome moto hatuachiii hadi na wao wajitambue.Taratibu jamii itabali tu kuwa hata k
mwanamke akichepuka ni kitu cha kawaida. Time will tell.
..
Na kama mnataka jamii iendelee kufikiria hivyo basi ni muda wenu wa kujitafakari! Kateni shauri mrudieni mungu, ongoza familia yako katika maadili yanayompendeza mungu..hapo mke akichepuka kweli ni aibu kwake.
Kwakweli huwezi kubishana na asili, mwanamke ukishikwa na ugwadu huku mume anakitembeza nawe kitembeze tu usishindane na nature.endeleeni kubishana na asili
Uombewe na nani ukikutwa Ni kibiriti tu!Watuombee tu kwakweli maana hamna namna nyingine tena.
Kwakweli huwezi kubishana na asili, mwanamke ukishikwa na ugwadu huku mume anakitembeza nawe kitembeze tu usishindane na nature.
Jiulize kwanini hii asili imeingia mushkeriendeleeni kubishana na asili
Bahati nzuri kiberiti ni cha wote, angalia usije ukatiwa wewe kiberiti kabla mkeo.Uombewe na nani ukikutwa Ni kibiriti tu!
Jiulize kwanini hii asili imeingia mushkeri
Sijui wanatumia vichwa gani kufikiri maana wana vichwa viwili. Ukute kichwa cha chini kina akili kukiko cha juu. Tatizo ndio hilo.Yaani kama tulikuwa tunafikiria the same, hahahaaa!! Wao si ndio vichwa!! Walete suluhisho maana hata watuchome moto hatuachiii hadi na wao wajitambue.